Wanawake na kupenda wanaume wenye hela...


Wewe sifa za watu wa nje wazihitaji za nini???zungumza na yule unayempenda,muelimishe then msaidie,ukitafuta go ahead kwa watu wa nje hutaipata,kwa kuwa hata mwanamke wako akipata haji kuwa wa manufaa kwao bali kwako na familia yako.....:coffee:

Ooops! :twitch:
Why do you go far like this?? Did I said I have married??? Did I said "am interested with outside pipo"??? Who is my woman then???
Michelle I think you have to know and confirm my status before saying those words above:coffee:

Sikuwa nakuongelea wewe kama CPU ila uliposema ukitaka tongoza UNAAMBIWA......ndo nikakujibu hivyo.....its not personal....ni namna tu ya kuweka ujumbe....i do not need to know your status,soma maelezo yangu na yako utaelewa nimekujibu kama wewe ulivyoandika....i do not know your woman and why do i have to know her to respond to your comment???:coffee:
 
not always Madam....LOL

Mine didn't fall for money and status...am just a 'small small' person.....japo ndo Mwenyekiti.....khaaa

Unaona eehh,heshima hailetwi na hela....mtu akikupenda na ukajiheshimu,ukatimiza majukumu yako utapendwa zaidi na kuheshimiwa.....zidumu fikra za mwenyekiti......l.o.l
 

I think you meant that (in the underlined text. . . ) lol
If so am sorry for that, coz i didnt understand to who you have directed your comments
Anyway I didnt even say I HAVE A WOMAN and such that YOU NEED TO KNOW THAT WOMAN
What I meant here (but from the time i havent understood the meaning of your comments) is that, you have to know if i have a woman or i dont have coz not every man MUST have a woman everyday unless he got married . . .lol
Am sorry again
 
Unaona eehh,heshima hailetwi na hela....mtu akikupenda na ukajiheshimu,ukatimiza majukumu yako utapendwa zaidi na kuheshimiwa.....zidumu fikra za mwenyekiti......l.o.l

Zidumuuuuuu...

tatizo Michelle,, uelewa wako sio uelewa wa wanawake wengine....I wish wangeweza kuwa na uelewa kama wako amen

Tusali:

"Ewe mwenyezi Mungu, baba wa mbingu na nchi!
uwajaalie busara, hekima na elimu wanawake wote watuelewe wanaume ili hata tusio na mikwanja na hadhi kwenye jamii tupendeke
Tunaomba hayo na kushukuru kwa kuwa utaenda kutenda kwa uwezo wako

AMEN"
 
yapi tena michelle...

Tumeongea vizuri weee....ukafika hapo ukasema ngoja tusio na mkwanja tukatafute.......i hope my statement did not lead you to say that....nimejisikia vibaya as in kama huna hela then you do not deserve the girl you want......my point was kama mtu akikukataa kwa kuwa huna hela,yupo atakayekupenda na umaskini wako,so go for her.....:coffee:
 


Mind you. CPU.... Madam Michelle is very analytical.....hahahaha
 


AMEN......AMEN....AMEN

Mungu tunakuomba pia uwape wanaume hekima katika kuchagua wenza wao.....uwasaidie wachague wenza watakaowapenda kwa jinsi walivyo na kuwaheshimu na zaidi kuwasaidia kuwa bora zaidi kama baba,mume na hata katika jamii yao,na uwape wanaume hekima ya kutuinua wanawake wao ili tuwe na maisha bora zaidi.Naomba nikiamini utatenda.

AMEN
 

Pouwa,nimekuelewa.....
 
Yeah Kaizer Man, I can see her . . . am studying her mind:coffee:

mmmhhhhh,i have been studying your mind as well......am about to write my conclusion......:coffee:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…