Wanawake na Mapungufu mliyonayo mnaupendo!!!

KakaKiiza uko juu!!! hakuna kama mama, hakuna kama susy!!!

Futa mchozi basi mydear, utaniliza mchana kweupee dume zima! :A S cry: :A S cry: :A S cry:
 
Kabisa....ndo maana mtoto wa mtu mwingine anazaliwa na kuaminika ni wa yule mwenye mahusiano bila yeyote kuhisi sio mwenye mtoto!!!

KK aliyekufurahisha leo na aendelee kufanya hivyo!!!

Hujajibu swali, kuna mtu kama baba?
 

DADA aSHA, uSINIFIKILIE VIBAYA NINAPOKUANGALIA SANA USONI, NIKAMA NAKUFANANISHA VILE!
 
Majibu yenu ni haya siyokwamba nimepewa kitu!!La hasha ila kwaujumla sikuzote nimekuwa tofauti hasa kwa wanawake nanilihitaji kujua nini mawazo ya wana jf kwa wanawake nakujua umuhimu wa wanawake kwa kila mmoja na nikawezakukamilisha kazi yangu niliyokuwa naifanya!!!Sijapewa kitu labda kama mnataka kunipakitu pm!!Halafu mnaishia kusema nimepewa kitu kaama mmeona leo nimekuwa tofauti na siku zote simnajua wajibu wenu kuna neno kwenye kioo cha komputer yako limeandikwa Thanks,nakwenye simu vile vile pale mobile edition lipo bofya nijue respond yenu!
 
Ndio babu!!!

Ni nani huyo aliye kama baba? Je ni mama? au mjomba? au babu?

Kwangu mimi baba ni baba na hakuna kama baba
Na mama ni mama na hakuna kama mama!

Jibu swali sasa, huyo aliye kama baba ni nani?
 
sIKUMBUKI NILIKUON WAPI, ILA SURA YAKO INANIFANYA NIKUANGALIE SAANA yOU LOOK KIND FAMILIA aaaahh.



Hapo tayari usha ni kwepa, how kind of familiar.....
 

The Following 4 Users Say Thank You to KakaKiiza For This Useful Post:

afrodenzi (Today), Asha D (Today), Elia (Today), Susy (Today)​
 
Thanks ni zawadi tuliyopewa na Mwenyezi Mungu
 
Ni nani huyo aliye kama baba? Je ni mama? au mjomba? au babu?

Kwangu mimi baba ni baba na hakuna kama baba
Na mama ni mama na hakuna kama mama!

Jibu swali sasa, huyo aliye kama baba ni nani?

Yeyote anaeweza kupewa jukumu la kua baba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…