Wanawake na Mapungufu mliyonayo mnaupendo!!!

Siamini macho yangu KK ni wewe au kuna mtu kaiba avatar oh sory password yako? Leo umekuwa positive na wanawake? Hongera sana
Nina ofa yako DA please sema niingie pm??
 
Khe! Kwa mara ya kwanza kumsoma KK akiwa positive kwa wanawake! Hakuna kama mama thx



NI kweli leo kaamua kuwa fagilia waMama baada ya kuwaponda kwa muda mrefu,

SAFI SANA KAKA KIIZA.....lol
 
Nitakuwa via Mobile wadada wamama wabibi nyote ni mamazangu sibagui ila kama unafurahishwa kuwa namimi ijumaa hii napatikana vurumsha li pm useme ukowapi nusudakika nitakuwa hapo !!Weekend njema love you all find me via mobile!!Tcio ladys!!
 
na mwanamke akibadili kibao anakuwa mbaya mara kumi ya huyo mwanaume. Wanaume huwa wanalianzisha mara nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…