Wanawake na Mavazi msibani

Wanawake na Mavazi msibani

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,658
Reaction score
8,994
Nilihudhuria msiba na hatimaye mazishi kwa kweli wanawake ktk msiba hiwa wanavaa kiheshimu mpaka inapendeza ila wakitoka hapo ni full majanga hivi kwann msivae ivo siku zote?
 
Kila jambo na vazi lina wakati wake,kweye majamboz nkikuvalia ushungi utaenjoy??
 
Yaan ukianza kuangalia mazazi ya wanawake;kuzaliwa mwanaume ni bahati.
 
misiba ya siku hizi imevamiwa na mavazi ya nusu kujiachia sana.

nakumbuka siku moja magufuli alishamtandika dada yake msibani kwa sababu ya kuvaa mavazi mabovu mabovu tu..

misiba ya mijini ina vimbwanga vingi sana kutoka kwa akina dada..
 
Back
Top Bottom