Naomba uje PM tuongee vizuriNIANDIKIE THREAD KAMA ULIVYOFANYA CHIT CHAT BRUH!
AU NIGAWE KWA MKUU
Mara hoo sorry baby nauli ulontumia nimeitumia kununua luku ntumie tena nijeSiji Nitumie nauli hun
We itakuwa unataka kupakuliwa sio bure
nauli huwa wanakuwa nazo sema washazoea kuomba ombaWanawake Wengi kwa kawaida hawana hela ya nauli kwenda kwa wanaume wao.
Lakini wakati akihisi upo na mwanamke mwingine mimi huwa sijui wanatoa wapi nauli utasikia tu anagonga mlango.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji95]Wanawake Wengi kwa kawaida hawana hela ya nauli kwenda kwa wanaume wao.
Lakini wakati akihisi upo na mwanamke mwingine mimi huwa sijui wanatoa wapi nauli utasikia tu anagonga mlango.
Haaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaa acha nicheke imenikuta J5 iliyopita!Mara hoo sorry baby nauli ulontumia nimeitumia kununua luku ntumie tena nije