Wanawake na Ndg wa upande wa mwanaume

Duh, haya bana!
 
uko sawa kabisa ndugu yangu ndugu wa mume awabebeki ata uwafanyie wema kiasi gani mwisho wake ni lawama tu.
 
uko sawa kabisa ndugu
yangu ndugu wa mume awabebeki ata uwafanyie wema kiasi gani mwisho wake
ni lawama tu.

Tangu tumefunga ndoa 2005 mpaka sasa nyumba yangu haikauki ndugu wa mume na sijawahi kuishi na ndugu yangu ila lawama ziko palepale. Muolewaji hana wema hata kidogo.
 
Ni ukoo wenu tu.....:target:
:target::target:
 
Tangu tumefunga ndoa 2005 mpaka sasa nyumba yangu haikauki ndugu wa mume na sijawahi kuishi na ndugu yangu ila lawama ziko palepale. Muolewaji hana wema hata kidogo.

usiwajali wapotezee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…