Wanawake na Okada! (boda boda)

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,234
Wa JF, uchunguzi wangu wa haraka haraka unaonyesha kuwa wanawake ndio wateja wakubwa wa Boda boda (okada)! Mbaya zaidi, wanakuwa defence less na wamekuwa victims wa ajali nyingi sana!

Kuna nini katika hizi Okada hadi wanawake wawe wateja wakubwa!

Just thinking aloud.....
 
Wakina dada wenzangu, mnaweza kunisaidia.....?
 
ntarudi baadae ila i prefer kuendesha mwenyewe kuliko kupakiwa
 
Shida yetu sisi wanawake wengi ni waoga sana kupanda piki pimi hasa ukiangalia hizi ajali za kila siku na words maalumu kwa victims wa Okada (boda boda)
 
Shida yetu sisi wanawake wengi ni waoga sana kupanda piki pimi hasa ukiangalia hizi ajali za kila siku na words maalumu kwa victims wa Okada (boda boda)
Kama wanawake ni waoga sasa inakuwaje wapande kwa wingi tena?

Kumbe na wewe ni tukutuku?! Kwa hiyo unapandwa na wanawake zaidi au? Just thinking aloud!
 
Nafikiri kuna haja ya kulifanyia utafiti. Good observation!
 
Mwanaume haendagi saloon bwana, kwani mteja mkuu wa Tax ni nani kama sio mwanamke? Kuna walipaji wanaume wanawake wapandaji tuuu...kuwa na Okada yako utajua kwa nini wanawake wengi gupenda Okada....
 
Mwanaume haendagi saloon bwana, kwani mteja mkuu wa Tax ni nani kama sio mwanamke? Kuna walipaji wanaume wanawake wapandaji tuuu...kuwa na Okada yako utajua kwa nini wanawake wengi gupenda Okada....

Hapo penye red pana carry weight!! Jibu ni hilo walipaji ni wanaume! Na waendeshaji pia ni wao hao hao. 1 + 1 = 3, But 1+3 = 4 Simple linear equation!
Kama hujaelewa ni-PM nikueleweshe zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…