JF napata experience na wife yaani simu ya mkononi mara nyingi iko chumbani, ndani ya begi, etc? huwezi kumpata on time hata kama issue ni very urgent lazima upige kama mara tatu na kuendelea...??
Do you experience the same kwa wake/girlfriends wenu na unashauri nini kifanyika?? inaboa sana hii.
Very true.....
Wanawake hawajui
maana ya simu ya mkononi....
Baadhi yao.
Wengi utakuta simu iko jikoni yeye
yuko kibarazani...
Wanatia hasira hadi basi...
kamanda kama una moyo mdogo unaweza kudhani unamegewa, maana huwaga najiulizaga sana hapa tatizo huwa nini?, hata umwambieje umuhimu wa simu, lakini story ni ile ile,
siyo nyie peke yenu hata mimi
Topic au thread hii ni kuwa anayepigiwa simu ni muhusika wa anayepiga. Sasa mpigiwa azime simu siku nzima bila ya upande wa pili kujua kuwa simu imezimwa, lol hapo kuna walakini.I am a staunch advocate for personal freedom.
Kuwa na simu ya mkononi maana yake si kwamba upatikane kila nukta.
Unaweza kuwa na simu ya mkononi na kuamua kuizima wikiendi nzima usipatikane, as long a huna obligations za kukuzuia kufanya hivyo.Swali, je mliwekeana mikataba inayoeleweka na wake zenu wasizime simu zao au kuziweka mbali?
Kumegwa siyo issue kubwa kwangu ila tu unataka kutoa ujumbe fulani au maagizo fulani..dunia imerahisishwa badala yake uta-call mpaka saa nyingine unaamua kuchukua hatua ya kwenda mpaka eneo la tukio say home au business centre..time, money imeshatumika...kukumbusha gani huko bana mimi wananiboa sana!kamanda kama una moyo mdogo unaweza kudhani unamegewa, maana huwaga najiulizaga sana hapa tatizo huwa nini?, hata umwambieje umuhimu wa simu, lakini story ni ile ile,
siyo nyie peke yenu hata mimi
we are talking about marriage life here, kwa hiyo sidhani kama ni busara mke wako akazima simu week-end nzima, eti kisa ni personal freedom, mkataba ni ndoa mliyofunga, we unataka kutuambia kuwa kila kitu mnachokifanya ni lazima mkiwekee mkataba?I am a staunch advocate for personal freedom.
Kuwa na simu ya mkononi maana yake si kwamba upatikane kila nukta.
Unaweza kuwa na simu ya mkononi na kuamua kuizima wikiendi nzima usipatikane, as long a huna obligations za kukuzuia kufanya hivyo.Swali, je mliwekeana mikataba inayoeleweka na wake zenu wasizime simu zao au kuziweka mbali?
Topic au thread hii ni kuwa anayepigiwa simu ni muhusika wa anayepiga. Sasa mpigiwa azime simu siku nzima bila ya upande wa pili kujua kuwa simu imezimwa, lol hapo kuna walakini.
Pili, tunazungumzia simu zinazoita afu hazipokelewi.
Makubaliano ya kupokea simu zote? what sijakuelewa? husband na wife waweke makubaliano ya kupokea simu? itakuwa very new innovations sijakupata ndugu??Hujajibu swali bado, kuwa katika uhusiano, au hata katika ndoa, hakushurutishi mtu kupokea simu.Kuna wengine hawapendi kupokea simu.
Swali liko pale pale, kuna makubaliano kwamba simu zote zipokelewe?
Maana mimi sina makubaliano na mtu kwamba nitapokea simu zote, na mara nyingine nazima simu, mara nyingine sipokei tu, ninaimagine kuna kinadada wengine wako hivyo hivyo, sasa kama hamna makubaliano siwezi kuwalaumu.
Nauliza, kuna makubaliano ya kupokea simu zote?
Hujajibu swali bado, kuwa katika uhusiano, au hata katika ndoa, hakushurutishi mtu kupokea simu.Kuna wengine hawapendi kupokea simu nyakati zao za kupumzika.

Ndiyo maana wengine hatutaki kuoa, na wengine hawataki kuolewa.Kwani kuna ubaya gani mtu akiamua sitaki kupokea simu saa hizi? Kupokea simu lazima?
Frankly, hii habari ya kutaka kuwa in touch na mtu 24-7 inaonyesha insecurities tu.
Makubaliano ya kupokea simu zote? what sijakuelewa? husband na wife waweke makubaliano ya kupokea simu? itakuwa very new innovations sijakupata ndugu??
Hujajibu swali bado, kuwa katika uhusiano, au hata katika ndoa, hakushurutishi mtu kupokea simu.Kuna wengine hawapendi kupokea simu nyakati zao za kupumzika.
Swali liko pale pale, kuna makubaliano kwamba simu zote zipokelewe?
Maana mimi sina makubaliano na mtu kwamba nitapokea simu zote, na mara nyingine nazima simu, mara nyingine sipokei tu, ninaimagine kuna kinadada wengine wako hivyo hivyo, sasa kama hamna makubaliano siwezi kuwalaumu.
Nauliza, kuna makubaliano ya kupokea simu zote?
Ndiyo maana wengine hatutaki kuoa, na wengine hawataki kuolewa.Kwani kuna ubaya gani mtu akiamua sitaki kupokea simu saa hizi? Kupokea simu lazima?
Frankly, hii habari ya kutaka kuwa in touch na mtu 24-7 inaonyesha insecurities tu.
Mkuu this is too academic which doesnt exist in the real world we live in? KWAMBA ETI MNA MKATABA? Hapa tunaongelea watu kwenye mahusiano..ambao they owe obligations to each other..to make life move...
Personally, huyu mleta hoja nimemuelewa. Nina rafiki yangu, hiki kitu ndo nadhani kinamgombanisha sana mara kwa mara na mke wake. Anapiga simu...kumbe handset iko jikoni au kwingineko..she simply doesnt care--If I may say so.
Mkuu kama umeoa hakuna tena issue za mkataba au nini..its just point ya mawasiliano. Mfano..wewe uko kazini...mwenzio yuko nyumbani..na mlikubaliana wewe utawapitia watoto shuleni jioni...ghafla ukapata dharura..sasa ukimpigia wife akawachukue watoto..huoni kwamba usipompata utakuwa umeharibu mambo? mifano ni mingi....
Katika dunia tunayoishi..hoja zako haziko practical.
Unless uniambie kwamba hutaki kuwa na simu kabisa. (Personally mimi sina simu ya mkononi!) Nikikuhitaji nitakutafuta. Na wala si kwamba niliamua hivyo kwa nia mbaya au anything..ni uamuzi tuu..sitaki kuwa na simu ya mkononi. Simple.
Masanja
Bluray...mkataba wa nini kwenye mahusiano ya kindoa? Vitu vingine ni common sense tu na kuleta mambo ya mikataba ya kijinga kijinga ni ku complicate mambo. Masanja hapo katoa mfano mzuri kabisa. Mke au mume anapokupigia simu siyo mara zote anataka kujua uko wapi na unafanya nini. Inawezekana kabisa mwenzako akawa kapatwa na dharura. Vipi kama mtu gari yake imeharibika na amekuwa stranded? Hivi utamweleza na akakuelewa kweli kuwa alikuwa anajaribu kukupata lakini wewe ulikuwa hujisikii kupokea wala kuongea kwenye simu? Talk about vyanzo vya ugomvi and look no further than this.....