Wanawake na Simu ya mkononi?


Halafu baada ya shida yote hiyo, umempigia kwenye landline ya nyumbani, unamuuliza "Uko wapi" anakujibu "nipo nyumbani, si umenipigia simu ya nyumbani?" "Nilikuwa nakusalimia tu"
 
huko ni kutesana sasa, wacha apige tu mpaka achoke nitakapoickia ndipo nitaijibu.
we nyamayao toa sulution bana! inakera sana kupiga simu mara nne au tano mfano kwa kesi yangu ilikuwa nimeshikwa na polisi alitakiwa alete document za gari nilizisahau ili isilale polisi...hatimaye gari imelala polisi na ndio gari ninayoitegemea kwa shughuli zangu za kibiashara..it was very urgent kwakweli..nimepiga kama masaa mawili mtu hapokei

hii ndiyo ilikuwa extreme case lakini kabla ya hapo nilishazoea kuwa-dispointed nilikuwa na dunda maisha wala sikuwa napata shida najua wanawake ndiyo walivyo wako occpaied na home activities you see
lakini hapa nimeliwa pesa, time na gari limelala polisi kuitoa bongo mpaka kamanda kova acheke wiki nzima..hasara kwa familia akiwemo yeye na mimi na watoto..na mtu una simu ya mkononi inaboa!
 

Hapo ndipo utajua kwamba "Ujamaa na Kujitegemea" bado ni siasa ya nchi.
 

Dada Gaijin,
Mawasiliano katika ndoa ni kitu cha muhimu sana na ni mojawapo ya vichocheo vya kukuza upendo ndani ya nyumba. Nimesikia wanawake wengi wakilalamika kuwa siku inaisha mumewe hajampigia hata simu wala kumtumia sms. Sasa kama unaweka simu yako kwenye "silent mode" na unaifungia kwenye mkoba wako au uko nyumbani unaiacha chumbani wakati uko sebuleni kwa kweli ni tatizo. Nafikiri ni jambo tu la kubadilika kwa wake zetu ili muweze kupatikana kirahisi. Namshukuru MUNGU mke wangu yuko reachable muda wote.
 

kwa Ushauri wangu si ya mkononi kwa wake zetu haifai hata kidogo inayofaa simu ya ndani ni bora kwa wanawake simu ya mkono kwa wanaume ndio bora zaidi huo ndio ushauri wangu asanteni
 
umenchekesha kweli mana mie ninakuwaga na kazi ya kumwambia naomba ni beep nijue fone ipo kona gani ya handbag, mweh.

haa haa ha Nyamayao, kusema kweli mi hata nyumbani, huwa namomba ani beep ili nijue simu ipo wapi, sometimes huwa inakuwa kati kati ya bulungutu la nguo nilizoanua mchana
kasheshe inakuwaga kama niliweka kwenye silent mode ili isimuamshe mtoto...

simu hizi...mwe!
 

Tumain unamaanisha unachosema kwamba kumegwa mkeo sio issue kubwa kwako? Una mke unaempenda? nina wasiwasi...
 
Tumain unamaanisha unachosema kwamba kumegwa mkeo sio issue kubwa kwako? Una mke unaempenda? nina wasiwasi...
Usiwe na wasiwasi hata kidogo? utazuia kumegwa mtu mzima na akili zake? nina mpenda lakini siyo kwamba eti niko so occupied kuchunguza maisha ya mke wangu not at all??
Yeye anajua madhara ya kumegwa nje ya ndoa? yeye ana akili? yeye ni matured? everyone plays his/her role that is it respect
 

Pole sana mkuu.
Ukweli hii kitu ina kera sana. imagine wewe na mke wako mko pande tofauti za dunia (mnatofautiana masaa). ww ukimpigia simu iko kapuni. anakuja ipata masaa 5 baadaye, hapo nawe uko labda usingizini.
haiji kwa kweli kina dada inabidi wajitahidi kubadilika.
 
Thanks ndugu, you made my day..duh JF kiboko asante...this is one of the options ambazo sikuwaza kabisaa...

Asante ndugu, tupo pamoja. matatizo mengi huisha kwa kutafuta solution!
 
Halafu baada ya shida yote hiyo, umempigia kwenye landline ya nyumbani, unamuuliza "Uko wapi" anakujibu "nipo nyumbani, si umenipigia simu ya nyumbani?" "Nilikuwa nakusalimia tu"


Teh teh teeeh, that sounda funny!!
 
Nadhani ingebuniwa simu maalum ya wanawake ambayo inakaa kwenye kitu chochote sensitive cha mwanamke mfano nywele!
 
Mie nadhani kuna sababu kama kadhaa za kutopokea simu haraka.
Kwanza, kuchelewa kupokea simu ni tabia waliyojijengea (kama ya kutokubali haraka akitongozwa ingawa naye amependa). Walizaliwa kutokuwa na haraka.
Pili, wanaweka simu kwenye mikoba ambayo inakuwa mbali kidogo na masikio. Hii ni tofaiti na wanaume wengi wanoweka simu zao kwenye mifuko ya mashati.
Tatu, ni mbinu mahsusi ya kuhakikisha kuwa kotopokea simu haraka ni tabia yake ili wakati akiwa kwenye anga zake aweze kutumia muda muafaka kujiandaa na majibu ya uongo. Kwa wale mnaoenda baa, mwanamke akipigiwa simu akiwa baa huhakikisha amekimbia kutoka alipo ili adanganye vizuri.
 
bwan si wanawake wote ndo wanaacha simu zao mbali na walipo, wengine wanapenda kweli simu zao kila mahali yuko nayo hadi ******. huyo mkeo anamatatizo yake usigeneralize tafadhali
 
bwan si wanawake wote ndo wanaacha simu zao mbali na walipo, wengine wanapenda kweli simu zao kila mahali yuko nayo hadi ******. huyo mkeo anamatatizo yake usigeneralize tafadhali

Remmy you are living in the past.
Thats all i can generalize you!
 
Tatizo litakuja pale ambapo kwa bahati mbaya mwanadada anapiga simu ya kiganjani ya mwanakaka mara kadhaa afu simu iwe haijapokelewa....atapindiwa midomo na kununiwa mpaka akome ubishi! Mkuki mtamu kwa nguruwe hahaha
Haaaa heeee, safi sana.
Hawa jamaa hawaoni ya kwao.
 


ndio mana mie nikasema apige tu nitakapoickia nitaipokea, mambo mengi nifikirie kurudi home baada ya kazi na kumwandalia chakula, bado mambo yangu ya kazi, babies wamefunga skul kwasasa bac hapo ndani ukifika hukumbuki cha cmu wala nn, bado nifikirie kukimbizana na cmu, atanisamehe!
 

mie kwa kweli nimejitahidi nimeshindwa, anajua kabisa mida ya jioni wakati natoka job akical mara 2 cjapokea anajua fone ipo kwenye mkoba na kuitafuta ni kasheshe na hapo nikifika home natupa mkoba naendelea na mambo mengine ya home mpaka nije nikumbuke cmu oohh ni kasharudi home kakacrika hafai....
 
Mwe mnacholalamika mimi kinakuta kwa mume wangu hapokei na hana matumizi ya simu. Hao wake zenu ni wafanya kazi au mama wa nyumbani? kama mama wa nyumbani wapige landline, kama ni wafanyakazi labda kazi ni kama zangu, hurusiwi kupokea simu ukiwa kazini mpaka lunch time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…