Wanawake na sms

Wanawake na sms

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,904
Reaction score
4,902
Demu wangu aliniambia baby nimeishiwa sms na hii ndo ya mwisho kwako uck mwema my mwaaaaa [emoji3] mimi sipendagi ujinga nikamuuliza tena baby ile laki moja nitume kwenye namba ipi......?[emoji847]sekunde tano nyingi akajibu fasta baby jamani nitumie kwenye namba hii ya tigo[emoji3].sitakagi ujinga mimi nikamuuliza tena jina nan baby??.[emoji847]fasta tu akajibu nasra juma[emoji3][emoji3]nikamwambia baby tayari umeiona hiyo hela[emoji2960][emoji2960]akajibu mbona hamna bbaby jamani [emoji848]nikamwambia sipendagi ujinga mimi nilitaka kujua tu kama kweli sms zako ziliisha kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]akajibu fyuuuu lione kwanza[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]*_
 
Mademu wa kizamani hao ,demu wa sasa mnaendelea kuchati na akiamua kukupiga kizinga uchomoi.
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Ndivyo walivyo wezetu hapo alitaka ujiongezee umnunulie vocha wanawake nyie mungu anawaona
 
Afu wanajihami ukiwasema wanakimbilia kujilinganisha na mama zetu
shenzi kweliii
 
Back
Top Bottom