Wanawake na uandishi wa meseji

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilijua ni mm peke yangu huwa nakerwa na huu uandishi wao kumbe tupo wengi.
 
Nilijua ni mm peke yangu huwa nakerwa na huu uandishi wao kumbe tupo wengi.
Wakati wakiwa shule walikuwa wa kwanza Kuandika essay ndefu na kumaliza notes za walimu
 
Mi naandika sana msg kuliko kuongea,, tena niwe naexpress feelings zangu au nimechukia,msg ya watsap utafungua more hata mara tano, na naandika kwa muda mfupi
Duuh yani shortcuts zitatuaa kwasababu watanzania kwenye shorcuts mwishowe watakuwa hawachat kabsa
Thanks Enx

I love you Lop u

Tomorrow 2moro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…