Lol hapo kwenye nyekundu sio wote......wapo wanaoitanguliza ya uchumba kisha ya ndoa. na vile vile ya uchumba mara nyingi huwa inavuliwa wakati wa kuvishwa ya ndoa (kwa kanisani) kwa sababu ya uchumba hutambuolika na wavalishanaji pamoja na ndugu zao but ya ndoa huwa imebarikiwa (na nadhani ukienda kanisani huambiwa uitoe mpaka mchungaji/padri akishakuvesha ya ndoa)Kwenye maisha lazima utahitaji kuvijua vitu fulani kwa undani (Udadisi) ili kupunguza mawazo juu ya hicho kitu na kukielewa vizuri,
Leo naomba kufahamu juu ya uvaaji wa pete mbili kwa akina mama (ya Uchumba na ya Ndoa).
Naona wote wanaanza kuvaa ya Ndoa halafu ya uchumba inafuatia, wakati inaanza kuvishwa ya uchumba na Mchumba wa mtu husika kisha inafuatia ya ndoa ambayo inavishwa na padre/shehe/afisa ndoa kama nia bomani.
Naomba kujua hilo tu.
Edmund bora hata umepoint out hilo.... maana in most cases jamii ya wanawake wengi hua tunavaa tu hata Hu-observe kua ipi imefuata...lol... Enways ukweli ni kwamba naona imechangiwa na the fact kua majority ya wanawake wengi waloolewa ni kua ni wachache walipewa pete ya uchumba wakati anachumbiwa... hivo mara nyingi akishaolewa anajinunulea mwenyewe/ndo anaidai kwa mumewe.... hivo kutozingatia hilo suala... Na pia kuna issue ya the shape ya pete hasa hio ya uchumba kua ikoje ili iweze kaa vizuri kidoleni...
Hahahaha Mwalimu hapa unataka kuanzisha mdahalo uso mwisho hahaha nakumbuka tulishawahilijadili hili hapa, karibu watu watoboe screen zao.Pete ina umuhimu gani kwenye ndoa?

Pete ina umuhimu gani kwenye ndoa?
Pete ina umuhimu gani kwenye ndoa?
Pete ina umuhimu gani kwenye ndoa?
kwa imani ya kikristo,ideally unasema 'pokea pete hii, iwe ALAMA YA KUMBUSHO WA UPENDO NA UAMINIFU WANGU KWAKO' . ndio maana ukimuona mwanaume ama mwanamke amevaa pete uuna_assume ana mwenza. na kwenye infii na wale wakongwe wa infii wana-either vua pete wakitoka tu ndani, ama wanakua hawavai kabisa!

Kwenye maisha lazima utahitaji kuvijua vitu fulani kwa undani (Udadisi) ili kupunguza mawazo juu ya hicho kitu na kukielewa vizuri,
Leo naomba kufahamu juu ya uvaaji wa pete mbili kwa akina mama (ya Uchumba na ya Ndoa).
Naona wote wanaanza kuvaa ya Ndoa halafu ya uchumba inafuatia, wakati inaanza kuvishwa ya uchumba na Mchumba wa mtu husika kisha inafuatia ya ndoa ambayo inavishwa na padre/shehe/afisa ndoa kama nia bomani.
Kero ni pale wanawake wenzangu wanavaa pete ya uchumba na ndoa wakati hana hata Boyfriend. Ili mradi ajulikane nae ana ndoa? Women think twice. Ni jinamizi lililowajaa wanawake wengi sasa hivi.
Engagement ring haina maana baada ya ya kuwa umefunga ndoa. wengi ni kutoelewa tu na kufanya vitu kwa mazoea. Baada ya ndoa unatakiwa uwe na pete moja mkononi tu.

Hivi ni Wakristo wote au ni madhehebu tu? Pia utamaduni huo umeanza lini? (naamini Wakiristo wa kale walikuwa hawahusishi ndoa na pete)
Hivi ni Wakristo wote au ni madhehebu tu? Pia utamaduni huo umeanza lini? (Ni utamaduni wa Roma ya kale ambao umeingizwa kwenye dini baadae?)
Wale wazee bibi zetu walioana kanisani lakini bila ya pete ndoa zao zikoje?

Pete ina umuhimu gani kwenye ndoa?

haina umuhimu wowote.
huu nao ni uwendawazimu na ukichaa mwingine unaotukumba binadamu, kuvaa pete kwenye vidole vya miguundoo maaana zavaliwa mpaka vidole vya miguu....
ndoo maaana zavaliwa mpaka vidole vya miguu.... (pete ni urembo tu )