Wanawake na wanaume wa Kinyamwezi

LUCHELELE

Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
27
Reaction score
5
za leo wanajf. mi napenda kujua kidogo kuhusiana na social life ya wanawake na wanaume wa kisukuma na wanyamwezi.kwa yeyote mwenye details karibu kuchangia.
 
Kwa kifupi ni kwamba wana mapenzi ya dhati.
 
Just a research au unataka ufanye nini ukishajua details zao
 
Wanaume wanapenda sana hawana mchezo kwenye hiyo anga,wanawake wakarimu na heshima ni jadi bila kusahau wana mashepu ya kukata na shoka
 
Wanaume wanapenda sana hawana mchezo kwenye hiyo anga,wanawake wakarimu na heshima ni jadi bila kusahau wana mashepu ya kukata na shoka

Gaga
Naona kweli unawamwagia sifa.... wa huko nini!! πŸ™‚
 
za leo wanajf. mi napenda kujua kidogo kuhusiana na social life ya wanawake na wanaume wa kisukuma na wanyamwezi.kwa yeyote mwenye details karibu kuchangia.
Bwana Luchelele mbona kama vile na wewe ni msukuma wa huko huko? au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…