Wanawake na wanaume wazoefu tujuzane

Mm nishamuelewa ina miezi 6 af ata yeye akininyima pakuzipata zipo nyingi isitoshe yeye kaja niambai ina miezi miwili so nimetilia mashaka nipo mguu nje mguu ndani
 
Hongera ba kijacho..... Raha ya mimba iwe na makashikashi yani mimba tsunami
 
Anakudharau anakuona poyoyo, na huenda hiyo sio mimba yako, ana exergrate ili kuwa relavant.

Nimemaliza sitakoment tena uzi huu
 
Anafanya makusudi huenda anajua unampenda sana.....

Mbona zile mimba zisizo kuwa na baba zinajilea zenyewe mpaka mwisho zinapqmbana
 
Huyo mwanamke wako wa ngapi bro, kamwe usiamini machozi ya mwanamke hasa kama hapo ameshajua akijiliza kidogo unaingia kwenye mtego wake, ana kukumanipulate kidogo kidogo namna hiyo
Kama mimi machozi yangu yapo mlangoni ukinigusa tu najaza ndooo unaweza kunihurumia hata kama kosa ni langu, nikiamua kulia nalia haswaa
 
Anakuonea huruma mimba ya sio Yako ikiwa Yako atakupenda utashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…