Wanawake na Wasichana wana uwezekano mkubwa wa kuuliwa na Watu wa karibu nao

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Mauaji yanayohusiana na Jinsia (mauaji ya Wanawake) yanaweza kuchochewa na Majukumu ya Kijinsia yaliyozoeleka, Ubaguzi dhidi ya Wanawake na Wasichana, uhusiano usio sawa wa Kijinsia, au kanuni hatari za kijamii.

Licha ya miongo kadhaa ya uanaharakati kutoka kwa Mashirika ya kutetea Haki za Wanawake pamoja na kuongezeka kwa uelewa na hatua kutoka kwa Nchi Wanachama wa UN, ushahidi uliopo unaonesha Maendeleo katika kukomesha Ukatili huu yamekuwa duni.

---------

Gender-related killings (femicide/feminicide) are the most brutal and extreme manifestation of violence against women and girls. Defined as an intentional killing with a gender-related motivation, femicide may be driven by stereotyped gender roles, discrimination towards women and girls, unequal power relations between women and men, or harmful social norms. Despite decades of activism from women’s rights organizations as well as growing awareness and action from Member States, the available evidence shows that progress in stopping such violence has been deeply inadequate.

With the aim of galvanizing global action against this all too pervasive crime, in line with the vision of the Generation Equality Forum action coalitions, UN Office on Drugs and Crime and UN Women have joined forces to produce the second joint edition of a report on gender-related killings of women and girls. Released ahead of the International Day for the Elimination of Violence against Women and the 16 Days of Activism against Gender-Based Violence, the report’s chilling findings add heightened urgency to an existing global emergency.

Here are 5 key findings:

1. Women and girls are most likely to be killed by those closest to them
In 2022, around 48,800 women and girls worldwide were killed by their intimate partners or other family members (including fathers, mothers, uncles and brothers). This means that, on average, more than 133 women or girls are killed every day by someone in their own family. Current and former intimate partners are by far the most likely perpetrators of femicide, accounting for an average of 55 per cent of all intimate partner and family related killings.
 
Attachments

Unaambiwa tamaa mbele mauti nyuma. Kama waliongozwa na tamaa kutamani mali na fedha za wanaume waliowakimbilia wakawe wenza wao kwa nini wasiuliwe na makatili hayo waliowaona ndio ponea yao? Ukute mdada alimdharau mwanaume mwema akakimbilia kwa katili kisa mali na fedha madhara yake ndiyo hayo
 
Wasichana walivyo wasweet lkn wanafanyiwa vitendo hivyo.Mhhh mungu linda warembo wako muhimu duniani.
 
Mauaji yanayohusiana na Jinsia (mauaji ya Wanawake) yanaweza kuchochewa na Majukumu ya Kijinsia yaliyozoeleka, Ubaguzi dhidi ya Wanawake na Wasichana, uhusiano usio sawa wa Kijinsia, au kanuni hatari za kijamii.

Licha ya miongo kadhaa ya uanaharakati kutoka kwa Mashirika ya kutetea Haki za Wanawake pamoja na kuongezeka kwa uelewa na hatua kutoka kwa Nchi Wanachama wa UN, ushahidi uliopo unaonesha Maendeleo katika kukomesha Ukatili huu yamekuwa duni.

---------

Gender-related killings (femicide/feminicide) are the most brutal and extreme manifestation of violence against women and girls. Defined as an intentional killing with a gender-related motivation, femicide may be driven by stereotyped gender roles, discrimination towards women and girls, unequal power relations between women and men, or harmful social norms. Despite decades of activism from women’s rights organizations as well as growing awareness and action from Member States, the available evidence shows that progress in stopping such violence has been deeply inadequate.

With the aim of galvanizing global action against this all too pervasive crime, in line with the vision of the Generation Equality Forum action coalitions, UN Office on Drugs and Crime and UN Women have joined forces to produce the second joint edition of a report on gender-related killings of women and girls. Released ahead of the International Day for the Elimination of Violence against Women and the 16 Days of Activism against Gender-Based Violence, the report’s chilling findings add heightened urgency to an existing global emergency.

Here are 5 key findings:

1. Women and girls are most likely to be killed by those closest to them
In 2022, around 48,800 women and girls worldwide were killed by their intimate partners or other family members (including fathers, mothers, uncles and brothers). This means that, on average, more than 133 women or girls are killed every day by someone in their own family. Current and former intimate partners are by far the most likely perpetrators of femicide, accounting for an average of 55 per cent of all intimate partner and family related killings.
Ni sahihi kabisa kusikia mambo kama hayo yakitokea kwa sababu mbalimbali.

1. Kuna wanaume wengi wanaishi na matatizo ya akili na wanawake walio wengi hawachukui tahadhari ya kutosha kiusalama dhidi yao.

2. Wanawake walio wengi hawana uwezo madhubuti wa kujilinda dhidi ya mashambulio hasa kutoka kwa wenzi wao.

3. Baadhi ya wanawake si waaminifu katika ndoa zao hivyo kuchangia migogoro katika familia na mahusiano kitu kinachopelekea kushambuliwa na hata kuuawa na wengi wao.

4. Ufeminist nao unachangia kwa kuwafanya wanawake kujilinganisha na wanaume na kuwadharau, kitu kinacholeta mgongano wa kimaslahi katika mahusiano hivyo kusababisha mapigano au hata kuuana.

5. Kuiga tamaduni za kimagharibi kupitia TV na mitandao; kama kujibizana au hata kupigana na waume zao. (Kiafrika, baba ni kichwa cha nyumba na huwa hajibizani na mkewe au mwanamke hapaswi kubishana kwani huhesabika hana maadili).

6. Matumizi ya dawa za kulevya ikiwemo pombe kwa wanaume walio wengi hupelekea maamuzi yasiyo sahihi katika familia nyingi
 
Kuna sababu nyingi zinazochangia kushamiri kwa mauaji ya wanawake, na ni muhimu kuchunguza kila moja kwa kina ili kuelewa tatizo hili. Baadhi ya sababu zinazoweza kuchangia ni pamoja na mfumo dume, ukosefu wa usawa wa kijinsia, umaskini, unyanyasaji wa kijinsia, na ukosefu wa elimu au ufahamu kuhusu haki za wanawake. Pia, matatizo ya afya ya akili yanaweza kuwa moja ya sababu, lakini sio sababu pekee.

Ni muhimu kwa jamii kufanya kazi pamoja kuelimisha, kuzuia na kuchukua hatua dhidi ya sababu hizi ili kupunguza mauaji ya wanawake na kujenga jamii salama kwa kila mtu. Kwa hiyo, njia za kuzuia na kutatua tatizo hili zinaweza kuhusisha kuelimisha jamii, kuboresha mifumo ya haki, kukuza usawa wa kijinsia, na kusaidia wale wenye matatizo ya afya ya akili.
 
Mpaka inafikia hatua anapoteza uhai , hatakukimbia na kujiokoa hawezi? Ni kwasababu anakua bado anajibishana na mwanaume badala ya kuwa mpole na kuepuka makuu; kwani anaamini anaasilimia 50 pamoja na mtu (haya mavyama na mataasisi ya kimataifa kama feministism na makampeni yanayowapa wanawake ujasiri wa kupambana na mwanaume kwa 50% kwa 50%; yanawaponza wanawake) mwanamke anayejichukulia kama m
wana mke kwa mwanaume is not a subject to femicide : (reference: adam na lilith)
 
Back
Top Bottom