Kwa mimi naona hili vazi nila heshima tu na pia ni nguo inayo mstiri mtu maungo yake yote ndio nguo ya heshima, sasa jamaaa unavyo sema eti hili vazi kwa dada, mama zetu sio zazi la heshima nashangaa kwani kwanza utambue vazi lolote ni vazi la heshima, sema sasa inategemea na zise ya vazi na mwili wa mtu,
Wapo wanaovaa madela ya watoto zao au wadogo zao alafu kama unavyo sema wanakuwa wamejaliwa mvumo wa radi, hapo ni dhahiri kabisa miluzi na zikohozi mitaani vitakiwepo tu .
Chakufanya hapa labda ungewashauri wahusika kwamba wavae mavazi yanayo endana na umri na maumbo yao ili mivimo ya radi ipungue,
Ujue hili vazi kikweli ni lepesi sana sasa ikitokea akavaa mdada mwenye inye gwedegwede panakua hapatoshi mitaani.
Hivyo hivyo hata kwenye nguo nyingine za kina dada wavae nguo zinazoendana na umri na mauombo yao sio ma dela tu, hata hizo nyingine wakivaa za wadogo zao basi mambo ni moto tu kama kawa