WANAWAKE,NANI ALIWAROGA??!

Hb wa Ilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,189
Reaction score
1,217
Jana Nlikua napita mtaa Flani Ivi nikakutana na scenario,mama kamwagia mtoto wa miaka 4 maji Ya moto usoni kisa kaenda kidokoa Mboga kwa Jirani!!nlijawa na Hasira kama Yote nikataka nimrukie sema ndo Ivo nna kilo kibao kuruka siwezi.

Nlishangaa sana nikaamuliza kwann mtoto akadokoe kwa jiran akashindwa kunijibu but the answer is crystal clear mtoto Hashibi ndani lazima atafute Plan B Ya kusurvive its natural kabisa alafu kumbe Yule alikua mtoto wa Kaka Yake ndo Nikajijibu kuwa hampendi..Nlijaribu Kuongea Na Yule dogo akawa anajibu Innocently kabisa kuwa ananyanyaswa honestly niliumia Binafsi.

Wanasema as a Mother Kila mtoto ni Mwanao,regardless hujamzaa why mistreat an Innocent Kid???!kama Una matatizo na mzazi why hold a Grudge against the kid??! HAJUI chochote kabisa acheni Hizi vitu Kabisa kwa mama wa sampuli hii inatakiwa ufungwe Jiwe Mguuni utupwe baharini maana Hufikirii..Infact wewe sio Mama wala mwanamke wala mwanadamu sio hata mnyama Yaani hata sionicha kukuita Pumbafff!!!!!!!
 
Sasa Kupika pilau kwako mpk Sikukuu ... Mkate Mpka wauone ni wageni wamekuja...

Vitu vizuri anaviona Kwa Majirani kwanini Asile huko huko?
 
Umeleta habari nzuri, nenda hatua zaidi report that matter kwenye wanaharakati za watoto! Nitetee, etc, LHRC-- Helen Kijo Kisimba
 
Sasa Kupika pilau kwako mpk Sikukuu ... Mkate Mpka wauone ni wageni wamekuja...

Vitu vizuri anaviona Kwa Majirani kwanini Asile huko huko?
..Hilo nalo Neno kwakweli
 
Umeleta habari nzuri, nenda hatua zaidi report that matter kwenye wanaharakati za watoto! Nitetee, etc, LHRC-- Helen Kijo Kisimba
..sawa mkuu,just PM me more details kuhusu hayo mashirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…