Wanawake naona hamjawa tayari kutumia simu ya mkononi aisee

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Ata uko naye Baada ya muda atakwambia simu yangu siioni

Ukipiga Mara ilikuwa jikonii, Mara Mara kibaaao
Sasa akupigie yeye usipokee weeeww!!!!!
 
Si makosa yao bali ni udhaifu wao kwa kila kitu
 
Haha hata najiuliza huwa wanaisahau kivipi?
yani ukikaa dakika sifuri utaskia ''Hebu niazime simu yako nipige simu yangu siioni''
Ni ajabu sana
 
Hawa wa mjini bora wasahau kula lkn sio smartphone. Hata kwenye misiba na harusi pia wapo biz na simu wengine mpk kanisani. Ukipiga nae story akiwa na simu ataishia kuitikia tu sawa..ok..kimwili yupo na wewe lakini kiakili haupo nae
 
Akina Chikunde hao...hhahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…