Wanawake ndio sababu ya vijana kupenda kulelewa na Mashangazi

Wanawake ndio sababu ya vijana kupenda kulelewa na Mashangazi

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hi

Ninyi wanawake ndio sababu ya vijana kupenda kulelewa na mashangazi.

Mtoto wa kike unapata wapi ujasiri wa kumlea mwanaume wakati wewe umeeumbwa kutunzwa na mwanaume kaaumbiwa kutafuta pesa atunze familia

Matokeo yake ndio haya watoto wadogo wanaangaika na vikongwe uku kisa kufwata uwepesi wa maisha

Sikuizi hakuna mwanamke wakukuchangamsha akili za wanaume au mwanaume atafute pesa kwa uchungu matokeo yake mwanamke ana pesa anakaz ya kununua vijana vya form six kuwafungia ndani mtai hasira nachukia mwanamke wa kuhonga wanaume ili apendwe kupendendwa ni nature kama hakupendi ata ummpe pesa hakupendi tu

Mwanamke kabisa unatafuta pesa unaonga kitoto cha 2000 mnatuaharibia vijana mmekuwa vibaka

Kuna familia moja niliipenda sana nilisoma sms kwenye sm ya mshikaji alinipa ruhusa lakini niijibu sms ila kihelele changu tu kusoma sms za juu

Nikaona mwanamke kamwambia mume atafute milion 7 yeye anatafuta 5 mwezi ujao wafungue duka la vinywaji alinishawishi sana mpaka natamani nipate mwanamke ambae amechangamka kiakili kama huyu
 
Mnaendekeza njaa tu vijana
Global hawajui kuwa ninja natokea mtaani.....

Skia kuna mda njaa inakua pembeni ila tuu wenyewe wanataka dundo...

Sasa unakuta na mshangazi unataka show ata kama unajua unatoka na nani...

Mshangazi kama huo unauleteaje utoxic...
Hii kitu kuna watu hatuifanyii kwa njaa.
Hii iweleweke mkuu
 
Oh kumbe
 
Back
Top Bottom