Wanawake ndio wajibu hapa: ungefanyaje Kama unakutana na kisirani hiki…………?

Hahahaha!ww utakuwa jinias sn lol,
Sipati picha mtu akikuzingua unaweza ongea hata kilatini(joke)
Umenichekesha sn,maana nimevuta picha ya hiyo sini itakavyokuwa lol!

hahahahahah lol
dahhh umenifanya nicheke kwa kwali lohhh
yeah natabia hiyo ya ku nena kwa lugha nikikasirika..
lakini haichukui muda..( siwezi kukasirika zaidi ya dakika 10 ) ndivyo nilivyo..
 
Nikiomba mungu ili awe anakuelewa na kuamua yeye kuwa mpole ili kumaliza soo,
Ila ukiweza kuwa unalivumilia alafu yeye anaendelea kubwata mwisho wa siku atanyamaza kwa kukosa sapoti yako,
Hata kesho yake ukimuuliza hatakuwa na ujanja zaidi ya kukutaka radhi yaishe!
 
hahahahahah lol
dahhh umenifanya nicheke kwa kwali lohhh
yeah natabia hiyo ya ku nena kwa lugha nikikasirika..
lakini haichukui muda..( siwezi kukasirika zaidi ya dakika 10 ) ndivyo nilivyo..

unafaa sana AD...LOL
 

yeah kweli kabisa ulichosema..
Kwa kweli tumetofautiana sana..
kuna siku wangu alikuja nyumbani akanieleza madudu aliyoyafanya
siku hiyo. nikacheka halafu sikukasirika na ye alikuwa anategemea vinginevyo..
dahhh alianza kuniuliza mara mia mia kama nina umwa.. sababu si kawaida kabisa..
But anyway aliniambia anataka ni kasirike tu akinieleza makosa yake sababu anaijua yeye
na inamhuzunisha na kumkosesha raha nisipoongea maneno yangu ya ajabu.. anapenda nilivyo..
 
aseme neno lolote kati ya uliyosema..
Imekula kwakwe labda awe na minyoo ya hatari,
au kaungua mdomo hawezi kula vinginevyo salale kasikolomayo...
When Enjo gives you some scratch do you also say these words....lol
 

You are very right yaani..maana wahanga wa "short temper" tupo wengi tu hapa. Halafu bila kujua hasira za design hiyo zikija unaweza fanya anythng stupid..maana kitu kinakuwa kimesokota moyoni unatamani kama umkabe na majibu yake ya kijinga.
 

Hongera! Wanaume hawa hawa.
 
You are very right yaani..maana wahanga wa "short temper" tupo wengi tu hapa. Halafu bila kujua hasira za design hiyo zikija unaweza fanya anythng stupid..maana kitu kinakuwa kimesokota moyoni unatamani kama umkabe na majibu yake ya kijinga.

nimefurahi kuona siko mwenyewe lolz..
ndo umpate yule anaecheka wakati we umekasirika.. duhhh
 
Swty ndo maana sikusema kitu ila 'nina njaa' mwenzio....mwanaume 'hasusi chakula'....kula kwanza maswali baadaye




hahaha..... Usijali Lov'... sasa hivi utakula chakula kisha andaliwa.....
 
Dah!hapo ulimpatia sana,na ilikuwa lzm imsumbue coz hakukuta alichokitarajia,
Na hapo lzm ajiieleze coz nafsi inamsuta na ili awe huru dawa nikujieleza,
Cha kupendeza alishakuelewa na ndio maana anaenjoy na kufurahia vile ulivyo,
Huwa inapendeza sana,km mkisomana na kuelewa kwan mnajuana namna ya kuhandle tempa zenu.
 
worse hahahah lol
she is so mean to me .. Do you want her this weekend please .. I need a break..
I will appreciate if you bring her this weekend...i need to spend sometime with her may a month or two or even stay with her forever..lol
 
Hongera! Wanaume hawa hawa.
Asante sasa hapo km umeolewa hata ukipigana haisaidii,
Coz mwisho wa siku lzm ulale naye na ndio wako huyo,bora ujifanye mjinga ili na yeye ajione wa ajabu kwa action zake,
Unajua anapokuja hivi nia yake ni kukukera ukasirike apate 7bu,akiikosa lzm kesho yake awe mdogo tu,
Na hapo ndipo pa wewe kumsomea mashtaka yake na kuweka wazi msimamo wake kwa tabia ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…