Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Hahahahaha,umenichekesha sana inabidi shem awe ameokoka ukianza kunena kwa lugha anakupa sapoti(joke)hahahahahah lol
dahhh umenifanya nicheke kwa kwali lohhh
yeah natabia hiyo ya ku nena kwa lugha nikikasirika..
lakini haichukui muda..( siwezi kukasirika zaidi ya dakika 10 ) ndivyo nilivyo..
ndo hapo sasa....
Thibitisha kuwa umenimiss vinginevyo najua unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa tupu!
ndo hapo sasa....
Thibitisha kuwa umenimiss vinginevyo najua unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa tupu!
Hawezi na anajua kuwa hawezi kwa kuwa ni mrongo tu...kuwa na kaka muongo shida sanaNashukuru na kufurahi umelitambua hilo....lol.... Hint; Mbane mazima athibitishe!
Hawezi na anajua kuwa hawezi kwa kuwa ni mrongo tu...kuwa na kaka muongo shida sana
Hawezi na anajua kuwa hawezi kwa kuwa ni mrongo tu...kuwa na kaka muongo shida sana
Pole mwaya, alimradi akirudi anakula wala usiwe na shaka, mchukulie hivyo tu ila siku akisema &unafikiri ww ndo pekee unajua kukorofisha.....' utajiju, sijui ni stroke utatoka nayo!Pole dear.... naelewa... imagine wee waonana nae once in a while.... Mie ninaeishi nae? Nakonda but sio sababu ya diet...lol...
Hahahahaha,umenichekesha sana inabidi shem awe ameokoka ukianza kunena kwa lugha anakupa sapoti(joke)
Lzm itakuwa kila ukipata hasira nguvu ya roho mtakatifu inakujaa na unanena kwa lugha lol!
Hapo hata mgomvi wako hataelewa unachoongea inakuwa siri yako na roho mtakatifu,mbona raha,
Yani hapo na kesi inaishia hapo hapo,kwan hakuna ushaidi wa maneno uliyoongea!
Hahahahaha,hahahahahaha Canta umenifanya nicheke sana jamani looohh..
huwa hapendi tugombane nikiwa jikoni maana na masufuri yatagongwa hukooo
vyombo visafi lakini naviosha tena huku naongea... ye kaa kaa kimya ...nikimaliza
anauliza kabisa" umemaliza kwa sauti ya upole " unamwangaliaaa unacheka yameisha
hahahahahahha ikiwa usiku ni kitu kingine tena lol.. "Good memories" kwa kweli..
hii thread ya kikuda. eti wanawake tu ndo wachangie, uliambiwa huu mtandao wa kike? kwanini unyime watu uhuru wa kungea? siku nyingine utasema mke wako ndo achangie. umeniudhi sana na usirudie tena. Mia
Mie niko hapa tu nasoma maoni yenyu..............LOL
kama mkitaka msaada wa namna ya kukabiliana na kisirani hicho mwaweza kuni PM
Kwa vile na mfahamu alivyo na sio kawaida yake kuwa vile au kunijibu vile mkewe,
Nitamshukuru na kumwandalia kitanda tulale,
Kwani najua lzm kutakuwa na tatizo kubwa sana linalohitaji kuongelewa muda mwingine na sio wakati ule,
Kesho yake nitamtafutia mda mzuri na kumtaka tuliongelee swala hilo na nipate maelezo ya kutosha.
nasubiri nikiwa mjamzito namnyanyasa ile mmbaya tena namwambia mimba yangu imempenda bosi wake wa kaziniHebu fikiria kwamba, umepika chakula kizuri sana na unaamini mumeo mpenzi wako akirudi kutoka kazini na kula chakula hicho atafurahi, hata kama hatakwambia, ‘asante.' Lakini mume huyo anaporudi anajizungusha na hatimaye anasema kwamba, hatakula chakula. Unapomuuliza sababu anasema tu kwamba, ameshiba. Unapomuuliza amekula wapi, anaweza kujibu kiungwana kwa uongo kwamba, amekula chakula cha mchana saa mbaya, au alikuwa na ‘pati' ndogo pale kazini au chochote.
Mwingine hakujibu kiungwana kwa kiwango hicho, bali atafoka na kutoa kashfa. ‘unataka kujua nimekula wapi ili iweje?' anaweza pia kukuambia, ‘unafikiri ni wewe peke yako unayejua kupika?' Kuna majibu mengine, ambayo ni mabaya zaidi na yenye kukwaza zaidi ya hayo. Hebu niambie kama ni wewe unakumbana na kisirani hiki ungefanyaje?