Kwa vile na mfahamu alivyo na sio kawaida yake kuwa vile au kunijibu vile mkewe,
Nitamshukuru na kumwandalia kitanda tulale,
Kwani najua lzm kutakuwa na tatizo kubwa sana linalohitaji kuongelewa muda mwingine na sio wakati ule,
Kesho yake nitamtafutia mda mzuri na kumtaka tuliongelee swala hilo na nipate maelezo ya kutosha.
nasubiri nikiwa mjamzito namnyanyasa ile mmbaya tena namwambia mimba yangu imempenda bosi wake wa kazini
Hebu fikiria kwamba, umepika chakula kizuri sana na unaamini mumeo mpenzi wako akirudi kutoka kazini na kula chakula hicho atafurahi, hata kama hatakwambia, asante. Lakini mume huyo anaporudi anajizungusha na hatimaye anasema kwamba, hatakula chakula. Unapomuuliza sababu anasema tu kwamba, ameshiba. Unapomuuliza amekula wapi, anaweza kujibu kiungwana kwa uongo kwamba, amekula chakula cha mchana saa mbaya, au alikuwa na pati ndogo pale kazini au chochote.
Mwingine hakujibu kiungwana kwa kiwango hicho, bali atafoka na kutoa kashfa. unataka kujua nimekula wapi ili iweje? anaweza pia kukuambia, unafikiri ni wewe peke yako unayejua kupika? Kuna majibu mengine, ambayo ni mabaya zaidi na yenye kukwaza zaidi ya hayo. Hebu niambie kama ni wewe unakumbana na kisirani hiki ungefanyaje?
Hahahahaha!!!Safiiiiii! Ingekuwa inaruhusiwa mwanamke kuwa na waume zaidi ya mmoja, ningeleta mahari.
Thx Olele,great answer, great wife. that is wt thy called wisdom, ningejua ulpo ningkupa zawadi, unajua jamii inatafuta wake kama nyie bd lack wapo wachache.
Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kumjib mkewe wa ndoa hivyo hivyo lbd kama alilazimishwa kumuoa.Ningekuwa mimi kama ndo mara yake ya kwanza sitomjibu, nitamvumilia nione mwisho wake utakuwa upi?