NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 307
😛opcorn:😛opcorn:😛opcorn:
hulali
Kweli sisi wenyewe ndio tunaosababisha ila kumtuliza mwanaume kunahitaji zaidi yakuzipeleka kitandani!Ongeza kumjali..kumpenda kwa maneno na matendo..kumheshimu..kumbembeleza..kumsifia..kumfanya ajihisi yeye ndo yeye kwako..kumpa moyo anapoonyesha kushindwa au kukata tamaa..na mengineyo!
Wanawake wanapenda sana kufanya mapenzi ila wanaogopa kuonyesha wanaume zao eti wataitwa malaya.
Yupp!Yani hapo akitafuta nyumba ndogo ana lake jambo!Lizzy hapo umefafanua, unafanya yote hayo, then unamalizia kwa sex kama msisitizo au kukolezea au sio.
Yupp!Yani hapo akitafuta nyumba ndogo ana lake jambo!
Wewe kama unapenda sex ni vizuri sana, penda fanya binuka ng'ang'ania, fanya kila kitu lakini usidhani sex peke yake ndo inamfanya mwanaume asitoke. Mpe sex 24 7 afu usimuheshim, usimpikie, usijishughulishe katika swala zima la maendeleo na wala usifanye mwanamke anayotakiwa kufanya kama mwanamke halisi ndani ya nyumba, ukalie sex uone kama atatajirika kwa sex unayompa. Nyumba au mapenzi hayajengwi kwa sex peke ake na neno mapenzi ni muunganiko wa vitu vingi sana na sex ikiwa kati ya hayo. Wewe ndo ungefikiria sana.
sasa mi mbavu zangu jamani... have mercy...
Siku hizi nacheka peke yangu kama chizi vile...
Kuna wanaume wengine hata waoe makungwi/walimu wa kitchen part lazima watoke nje na kutoka njee sio kwamba hupendi bali mwenzio anakaugonjwa flani kangono. (tafuta mwanaume anayemwogopa mungu/mcha mungu afu play your part as a woman nakuapia hatatoka nje kwa waliokwisha olewa imekula kwao)Wewe kama unapenda sex ni vizuri sana, penda fanya binuka ng'ang'ania, fanya kila kitu lakini usidhani sex peke yake ndo inamfanya mwanaume asitoke. Mpe sex 24 7 afu usimuheshim, usimpikie, usijishughulishe katika swala zima la maendeleo na wala usifanye mwanamke anayotakiwa kufanya kama mwanamke halisi ndani ya nyumba, ukalie sex uone kama atatajirika kwa sex unayompa. Nyumba au mapenzi hayajengwi kwa sex peke ake na neno mapenzi ni muunganiko wa vitu vingi sana na sex ikiwa kati ya hayo. Wewe ndo ungefikiria sana.