Huyo nilimwambia hivyo nimemsoma si leo tu.....alitumwa na amenikuta sasa ligi ianze......
Wikiendi imeisha mamii ndo tunaanza kazi.....ngoja niku PM faster......
Bora umeona ni data za saluni....tena za uswazi.....alafu ana jeuri na kiburi kwamba ana majibu.....ndo maana watu wanafeli shuleni.....kujiona unajua kila kitu, katika kazi yangu kama counsellor nimekutana na cases za ajabu sana.....wengine wanapata wanaume wanaowapenda na kutokana na yaliyomkuta maishani hataki sex.....leo mtu anakuja na upupu wake wa saluni anaweka hapa....kuna wanaume wanajitahidi kuacha kwenda nje lakini wapi.....haridhiki hata apewe huko dini inakokataa yeye kila mwanamke asiyelala nae anamtaka.....usijali Dada Tom,ngoja niende kazini......will PM you kuhusu safari.......msalimu Tom....miss you!
kwamba kweli?
mambo?
poa mwana kwetu, naona mwam bwatukia dada wa watu.......kwa raha zake mweyewe...l.o.l
mwenzangu...kwa raha zake km kdg:laugh::laugh:
ahh upupu wake ni wake peke yake lakin asiseme kwa wanawake wote
wknd aje aje?
Acha ujinga wa kutulazimisha wote kukubaliana na wewe......na unaposema tuwe wakweli alikuambia nani hapa watu wanadanganya?ili iweje?tuko sokoni hapa kwamba tunafanya marketing??
Kwa mtu usiye fanya analysis unaweza ona mwanamke ndo chanzo kikubwa cha wanaume kutoka nje,hakuna jibu moja la kwanini mwanaume anatoka nje,wapo wanawake wanafanya kila linalowezekana na wanaume wao wanatoka nje....kutoka au kubaki ndani ya ndoa ni decision ya mwanaume mwenyewe kwa asilimia kubwa.......dunia hii ya leo ina vishawishi vya ajabu,ina nguvu za giza,ina kuporomoka kwa maadili na kushuka kwa hofu ya Mungu,kuna wanaume kutoka nje ya ndoa ndo kuonyesha urijali wake au ndo tabia ambayo hata kwa baba yake amerithi,na wengine ni kitu cha kujivunia,wengine wameoa watu wasiowapenda,wengine haridhiki na hawezi lala na mwanamke mmoja kila siku...the list goes on and on....
Kwenye suala la wanawake kutokupenda sex,wapo wengi tu wala si wachache.....kuna watu hawapendi sex kutokana na maumbile yao na maumivu wayapatayo after sex,kuna waliobakwa ambao hawana hamu na wanaishi kwa hofu hata ya kukutana na mwanaume,kuna waliokuwa katika mahusiano mabaya wameshindwa kusamehe na kusahau na wanaona sex kama utumwa fulani,kuna wasiopata raha wakati wa sex na hawaoni kwanini wafanye,the list goes on and on......
Kupenda kwako mapenzi na kumwambia mwanamme wako na kubinjuka kama utaona ufalme wa mbingu ukifanya hivyo haimfanyi mwanaume abaki kuwa wako....at the end anaweza tamani nje na akatoka.....yeye ni binadamu independent na mwili wake hata kama kaoa...
I hate generalisations......na usiwe unasema tuache ujinga tule kitu roho inapenda...kitu roho inapenda kwako si lazima roho yangu iwe inapenda.....na tuko tofauti huku duniani na tumekutana na mambo tofauti kuwa tulivyo.....ukileta mada we iweke but kugeneralise ni ujinga wa hali ya juu.
huku kwetu kia siku wknd dada angu.....
mdada anawaambia anapenda sex hata mumewe analitambua hilo....l.o.l
Kumbe Haika hayo yote unayajua (kwenye red) ????? Basi cha kufanya mrudie Mungu, maana anapenda sana ndoa zisivugike.Angalia hata Ibrahim alicheza na mke wake Sara. Kaw hiyo mapenzi kwenye ndoa ni kachumbali inakoleza unyumba. Wewe na baba mpe Mungu nafasi kwenye maisha yenu, hapo ndipo mtakapo faidi vizuri matunda ya ndoa. Kuvumilia peke yake ni mzigo, utacrash kama computer, hizo stress ni heart failure ndg yangu, jihadhali kabla ya hatari!!!!!!!Hao wanaoogopa kujiachia wameumwa na nyoka, kuna jinsi huyo mwanaume hajaonyesha kuwa anathamini starehe ya patna wake, na kuwa atakapoonyeshwa hataichukulia kama ni dalili ya umalaya na kuanza kumdalilisha au kumnyanyapaa nayo, bora ujikalie kimya shosti. Najua unajua wanawake tunavumilia mengi kwa ajili ya familia zetu, hilo nalo ni mojawapo.
Mie naona ni kazi ya mume kumhakikishia usalama mke wake, pamoja na siri zake zote.
Wanaume wa shoka siku hizi wachache dia, wenye kifua cha kubeba wanawake wa Beijing, ukijifanya uko juu sana kuna mawili, ama akuache uwe ndio baba wa nyumba yeye awe neutral, na hapo atakusikiliza kila unachotaka bila yeye kuwa na direction yoyote, au atareact na kuwa mbogo na kuleta vurugu nyumbani mpaka pawe hapakaliki.
Bora tu kama hujapata bahati ya kupata mume mwandani, wa kukubeba wewe na raha na shida zako zote, mambo mengine uvumilie kimyaaaa.
Umeshtukia ee, kuna wadada humu ndani wanajifanyaga wao mambo fulani nini ustarabu, wapiii
huku kwetu kia siku wknd dada angu.....
mdada anawaambia anapenda sex hata mumewe analitambua hilo....l.o.l
duu fikira nyingine jamani, kwani ku sex na mpenzio inahuckanaje na ustaarabu?
pande ip iyo dail wknd?
brunei....!
ehh haya
the same apa tandale kwa tumbo daily xmas!!!
Wanawake ndo chanzo kikubwa cha wanaume zetu kufanya mapenzi nje. Sababu wanawake wengi wanajifanya hawapendi kufanya mapenzi kitu ambacho si kweli. Wanawake wanapenda sana kufanya mapenzi ila wanaogopa kuonyesha wanaume zao eti wataitwa malaya. Huo ni ujinga mtupu kuleni kitu roho inapenda.
Mimi binafsi na admit kwamba napenda sex na mpenzi wangu analijua hilo hivyo na wenzangu muwe wakweli pia. Msilete mambo ya siyo wanawake wote wanapenda NI KWAMBA WOTE TUNAPENDA SEX. Wewe unae andika comment yako sasa fikiria kwanza huja andika.