Wanawake ndo tunasababisha waume zetu kutoka nje.

Kula tano.
 
Konklusheni:Sex is not love!!It's just a small part of it....haiwezi kuchukua hata masaa 12 tu ya siku kwahiyo hivyo vipengele vingine navyo vinatakiwa kuzingatiwa ili kumtimizia mwenzi mahitaji yake yote!!!!
 
Dah imagine una watoto watatu halafu mwingine mdogo sana wewe ni mama wa nyumbani nje mumeo kafungua kiduka uwe unauza wakati upo home housegirl katoroka halafu uniambie hiyo sex utaitoa mara ngapi kwa wiki
kuna mambo mengi ya kuzingatia kwenye family pamoja na hiyo ila wanaume wetu pia huwa wanaangalia na situation inavyokuwa kama ni waelewa, sex inaendelea ila na mambo mengine pia yaendelee kama kawa
 
hodiii? Hv minor wanruhusiwa humu ama nibakie kuwa mpiga chabo tu humu?
 
Michelle mi nimeipenda hii comment, haina unafki na imejaa uhalisia.... ur such a swiri, me very proud of you (hata kama sikufaham)....

In short, wewe na mamushka kwenye hii topic just made me very happy and proud to be a lady.

ohhh Leney,mi proud of you too my dear, you are a swiri as well nakusomaga sana.....unafiki haukubaliki kabisa,hapa ni Where we dare to talk OPENLY.........stay well.....
 
jamani jamani hivi karne hii bado mtu unaamini kuwa mwanamke ndio sababu ya mwanaume kutoka nje ya ndoa????duuu wanawake wenzangu huko bongo mnakazi haswa!kuna mijaume imelelewa kwao kuwa wanawake wengi ndio ukamilifu wa uanaume so yeye hata ukampa kila siku hadi akalala nayo akimuona asha ataenda kulala nae tu., kuna wanawake mafundi hasa wa kudemand sex kwa wanaume zao na bado wanaume zao wametoka nje ndoa! so ndugu yangu wewe kama unaaamini sex pekee ndio inadumisha ndoa pole zako inawezekana umepata mwanaume ambaye alikuoa bz of sex only.!
ndoa ni zaidi ya sex ati,ndoa maana yake mume atimize wajibu wake kama mume na mke atimize wajibu wake kama mke! mume anatakiwa kumpenda mkewe na mke anatakiwa kumtii mume!mume kichwa cha nyumba, na mke ni msaidizi kwa mumewe......

inaonekana ndoa yako changa mwenyewe unadhani eti mumeo atoki nje dada usikurupuke?? unaambiwa usisemeee moyo!!! wewe unadhani kulala na mwanaume mara sita kwa usiku mmoja ndio kumsatisfy??? utachekwa mpnz!!kuna wanaume hawajui kusema hapana ingawaje huduma unayompa haimridhishi lakini bz amekuoa atajitutumua kiume kukupa hiyo sex huku kichwani kwake anamfikiria asha? na akitoka hapo ataenda tuu kwa asha coz huko ndio anakopata kitu roho inapenda!
 
Nilijua tu kama kawaida yenu, kwenye mambo ya kweli huwa mnakuwa negative. tena leo mmechelewa ku comment. sijui ni kwamba mnataka kuonekana nyie ni wastarabu saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana. hakuna ustarabu kwenye ngono dada
 
ohhh Leney,mi proud of you too my dear, you are a swiri as well nakusomaga sana.....unafiki haukubaliki kabisa,hapa ni Where we dare to talk OPENLY.........stay well.....

Ndo wale wale!!! wapi wengine !!!
 
ohhh Leney,mi proud of you too my dear, you are a swiri as well nakusomaga sana.....unafiki haukubaliki kabisa,hapa ni Where we dare to talk OPENLY.........stay well.....

*blushing + smiling*.....ur the best.
 
Nilijua tu kama kawaida yenu, kwenye mambo ya kweli huwa mnakuwa negative. tena leo mmechelewa ku comment. sijui ni kwamba mnataka kuonekana nyie ni wastarabu saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana. hakuna ustarabu kwenye ngono dada

Jamani hapa si JF? mbona tunalazimashana kukubaliana??? sasa hii ya "hakuna ustarabu kwenye ngono" si ni mawazo yako mdada??? kwani imeandikwa kwenye bible/quran kwamba ni sheria??? wape uhuru wenzio...kama umeleta mada watu wakakataa, halafu ukawashawish na bado wakakataa, wape uhuru wao... huo ndo ubinadam....waweza mpleka ng'ombe mtoni lakini kamwe hutaweza mlazimisha kunywa maji.... Na usiwe defensive kuwa wanataka kuonekana wastaarabu, kwanini ufikirie hivo?

Yani wewe hujakubaliana hata na moja lililotolewa, mpaka sasa kuna posts 92 kwenye hii topic, watu wametoa maoni na ushauri mbalimbali...lakini wewe hapana...umeshikilia hilohilo...... Kufika tutafika, ila tutafika tumechoka balaa.
 
Umenena vema ndugu, maneno yao na uhalisia ni tofauti, atasema hataki mume lakini atakuwa mtu wa wanaume, kwa hiyo bado hapo anahitaji sex kumbe.
 
Umenena vema ndugu, maneno yao na uhalisia ni tofauti, atasema hataki mume lakini atakuwa mtu wa wanaume, kwa hiyo bado hapo anahitaji sex kumbe.

Je unafikiri kuwajumlisha wanawake wote duniani (na dada zako na mzazi wako) katika hili ni hekima? ni uhalisia? ni busara?.....kwa sababu tu hao uliokutana nao walikufanyia hivo?

Mbona sisi ni watu wazima lakini....kwanini hivi? Una uhuru wako lakini wa kufikiria unachotaka kukifikiria...
 
Habari ya asubuhi wapendwa,
LOl.. sorry,
Nadhani nimepotea njia,
ngoja nigeuze!!!!!
 
Nilijua tu kama kawaida yenu, kwenye mambo ya kweli huwa mnakuwa negative. tena leo mmechelewa ku comment. sijui ni kwamba mnataka kuonekana nyie ni wastarabu saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana. hakuna ustarabu kwenye ngono dada

Nashawishika kuamini, unalako jambo hapo kwenye blue.
Halafu hapo kwenye red, zinaa ni dhambi achana nayo!!
Na hata kama umechagua maisha hayo, basi usitushawishi, wala usipigie debe uchafu kama huo.
Tunaheshimu ndoa, na tendo la ndoa, lakini sio NGONO. Right??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…