Wanawake ndo tunasababisha waume zetu kutoka nje.

duh sure. mimi mke wangu huwa mpaka mimi nimuanza hata nikigaa mwezi mzima yeye kimya tu jamani wanawake kuweni wawazi
 
Sex inataka maandalizi ya kisaikologia, mwanamke uwe mwanamke kweli, yaani hata sijui nianzie wapi? Unajua mwanamke ukashaolewa hata kama ni Director lazima uiangalie nyumba yako kwa ujumla wake, intotality. Nyumba ni mume, ni chumbani, ni jikoni, ni chakula, ni sitting room, ni chooni, ni wageni, ni ndugu wa pande zote, ni romance, ni sex.n.k. Kama unamuudhi sex itatoka wapi? nyumba ni chafu , kitanda shuka na foronya wiki nzima, marashi mwanaume anayasikia barabarani wapi sex itapanda. BADILIKENI MUWE WASAFI kuanzia roho,mwili, nyumba in totality halafu maisha yatakuwa tofauti. HAKIKISHENI CHAKULA CHENU NI KIZURI, AAA mie hata nashidwa hat kumaliziamaana mnanikumbisha mashamsham, mwanaume hatoki. Mie saa nyingine nakutanana wanawake nawaangalia halafu nawahurumia waume zao, yaani hawana mvuto kabisa kila mahali, najiuliza hawa romance inaanzia wapi? oo mungu nisamehe lakini ndo hivyo nimetoka nje sana ya maa au? nanyie waspmaji nisameheni.
 
You are missing a point. What you should always know, most men me included (I am not talking about play Boys) are satisfied with their lovers be it wife or otherwise; Provided they are handled very tenderly, respected, cared, loved and lastly taken care of when in bed period. When a man is satisfied he is not even bothered by the so called Asha irrespective of their talents to woo men. So get it right my dear.
 
mmhh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…