JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Ogopa sana mwanamke mwenye vikundi vya vicoba na mikopo wengi wanatumia hiyo kama njia ya kumchuna mume wao kwani wengi wao wana ahadi tamu sana kwa waume zao za kujikwamua mtu unaweza hata kumdhamini mwanamke achukue mkopo wa million 50 ukaweka nyumba rehani ila mwisho wa siku hutaiona hata mia ya hiyo biashara na kama kuna faida yoyote mwanamke ataishia kujenga kwao na wewe utaishia kulipa mkopo wake au nyumba yako ipigwe mnada na benki.