Wanawake ngojeni ni wape siri-kuhusu sisi wanaume

fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Posts
2,984
Reaction score
1,031
Mkitaka wanaume zenu wawapende, wachieni wanaume zenu waowe wanawake wengine....Lazima mfahamu haya hakuna mwanaume amekuwa programmed afanye sex na mwanamke mmoja tu hapa duniani.

Najua wengi wenu mtasema what the heck am I talking about....Wewe chukulia umemruhusu mwanaume wako awe na mwanamke mwingine.

Huyo mwanaume atakuappreciate sana, na atakupenda sana na atawacha kucheat kabisa...He would cherish you, na atakuweka kwenye sehemu kubwa sana kwenye moyo wake.


Wanawake wengi lazima wajue wazi sex differs from love....Yani msidhani sex ndo love hata siku moja, kama mnadhani vile mjuwe mnajidanganya tu.

Mara nyingi sana ndoa zina fail sababu wanaume zenu wako mchaka mchaka kutafuta wanawake wa nje...Kwanini msiwakaribishe wanawake wengine ndani ya life za waume zenu, ili waaume zenu watulie na nyie.

Leo unakuta mwanamke analamika eti, mwanaume kabla ya kuoa lazima amishauri kwanza.

Akushauri vipi, wanawake mnapaswa kujiuliza swali moja tu...ingekuwa nyie ndo mnaruhusiwa kuoa wanaume zaidi ya mmoja...Mgeshauri wanaume zenu time ya kuoa, au hata mgetujali tutapenda au hatupendi? Aisay sidhani...Mana speed zenu ni kali kuliko zetu...mgekuwa kila siku mnaongeza wanaume.

Wasitokee hapa wengine wakaleta dini, mana mkiingia kwenye dini mjue mmeumia, mana hakuna kitabu cha dini kinaruhusu mwanamke aowe zaid ya mwanaume mmoja....Lakini vitabu vyote vya dini karibu vinaruhusu mwanaume aowe zaid ya mmoja.


Siku njema.
 
Dark City.....yuko waapi??????
tumepata Chairman wa polygamy club.......hapa......lol
Aaa kwani aibu kuongeza wanawake.

Aisay mimi kila nikiwapata wanawake siwawachi.
 
Hii taasisi ya ndoa hii,pasua kichwa sana,
Bado naitafakari namna ya kuiingia,
Najipangana kupambana na changamoto zake,
Fazaa huo ni mtazamo wako sijui ungevaa viatu vya mwanamke unayemshauri hili ungesemaje!!!!
 
na hata ukimruhusu aoe wanawake 50 mwanaume mzinzi ni mzinzi tu. Hiki wala si kipimo cha upendo!
Hapa ndo mnapokosea.

Kuoa na uzinifu ni viitu tofauti kabisa aisay.
 
na hata ukimruhusu aoe wanawake 50 mwanaume mzinzi ni mzinzi tu. Hiki wala si kipimo cha upendo!
Wala hujakosea kbs,
Kuna mbaba namfahamu ana wake 4 na wote anaishi nao nyumba moja,
Na stil anawachapa mabinti acha kbs,mpaka wale wake zake wanajua na wameshaamua kumuacha afanye atakavo!
Mbaya zaidi ni mtu mzima flan ambaye alishapita ile age ya umapepe,sasa hapo napo sijuii hili linaaplay au vp!!
 
Hii taasisi ya ndoa hii,pasua kichwa sana,
Bado naitafakari namna ya kuiingia,
Najipangana kupambana na changamoto zake,
Fazaa huo ni mtazamo wako sijui ungevaa viatu vya mwanamke unayemshauri hili ungesemaje!!!!
Kuogopa ndoa!! Kwanini uogope ndoa?

Viatu vya kike???
 
Tatizo wewe unatoa mfano wako na mimi na mifano yangu hutaki kuikubali...Hapo sasa ndo kazi.

Hao wanao jidai hawataki wanaume zao wawe na mwanamke mwingine ndo wape pole kweli kweli...yani wanaume zao wanakula totoz tena wale wa fast fasta na wao wamekaa nyumbani hawajui.
 
Hii taasisi ya ndoa hii,pasua kichwa sana,
Bado naitafakari namna ya kuiingia,
Najipangana kupambana na changamoto zake,
Fazaa huo ni mtazamo wako sijui ungevaa viatu vya mwanamke unayemshauri hili ungesemaje!!!!

Cantalisia, chelewa chelewa utakuta mtoto si wako!
 
 
Kuogopa ndoa!! Kwanini uogope ndoa?

Viatu vya kike???
Siogopi ndoa Fazaa,
Ila najua sio kitu rahis,hakihitaji kukurupuka,
Inahitaji uingie ukiwa unajua nn kiko humo na namna ya kupambana na changamoto zake sio siku mbili natoka nduki,

Viatu namaanisha,je ingekuwa ww uwe kwenye position ya mwanamke,alafu mtu anakushauri unachotushauri hapa ungeichukuliaje?
 

Cantalisia, chelewa chelewa utakuta mtoto si wako!
Hahahaha,
Wambandwa kama ipo ipo tu,
Wa kwangu hakuna wa kumchukua haijalishi itatuchukua mda gani kuwa kuoana,
Other wise akichukuliwa atakuwa hakuwa wangu,na kinachotokea ni yeye kuondoka anayestahili kuingia lol!
 
Ndo maana hata mie natafuta wafuai wa Molygamy.
Ya nini mtesane kung'ang'aniana wakati mnaweza fanya kolabo na watu wengine bila kuvunja ndoa yenu?
Uhuru wa mwandishi aidhuru tabaka tawala tu.
 
Fazaa,najua umeandika hili kwa yale unayoexpiriens,wala sipingani nawe na wala sikubaliani nawe,
Kilichopo natafakari mm wakati wangu ukifika nitakutwa na lipi kati ya hayo?
Ninachofanya ni kumwomba mungu aniepushie mbali mambo haya.
 
Still addinG..........................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…