Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
OK nimekufahamu sana kwenye highlighted ya kwanza.Siogopi ndoa Fazaa,
Ila najua sio kitu rahis,hakihitaji kukurupuka,
Inahitaji uingie ukiwa unajua nn kiko humo na namna ya kupambana na changamoto zake sio siku mbili natoka nduki,
Viatu namaanisha,je ingekuwa ww uwe kwenye position ya mwanamke,alafu mtu anakushauri unachotushauri hapa ungeichukuliaje?
Hapo kwenye highllighted umeongea point nzuri sana, wewe omba mungu tu akusaide.Fazaa,najua umeandika hili kwa yale unayoexpiriens,wala sipingani nawe na wala sikubaliani nawe,
Kilichopo natafakari mm wakati wangu ukifika nitakutwa na lipi kati ya hayo?
Ninachofanya ni kumwomba mungu aniepushie mbali mambo haya.
Inawezekana coz ingekuwa wale wamama hawaridhishwi czan km pangekuwa shwari kiasi kile kwa uabazzi anaoufanya,Canta usilinganishe vijana wa zamani na wa sasa. wazee wa zamani ni noma aisee. Wana nguvu ukilinganisha na hao vijana wako.
Ambao wanashindia mihogo, biscut, soda tena ya azam. baga
Kwanza maisha ya ndoa yanategemea ni ndoa ipi mlifunga,km ya kikristu hii kitu ya kuruhusu mume alete mke mwingine haipo na akifanya hivyo ni makosa hivyo hata mm sitamruhusu,km atafanya huko bila mm kujia atajua yy na mungu wake,OK nimekufahamu sana kwenye highlighted ya kwanza.
Highlighted ya pili, Ahh mfano ningekuwa mimi kama nimezaliwa mwanamke basi ningetoa ruksa....Mwanamke lazima ajiamini yeye kama ni mzuri, kuogopa ogopa mwanamke mwingine kuja kwenya life ya mme wake ni kwa sababu gani? Kama sikujiamini.
Hawajiamni ndo mana, kama wewe unajiamini mzuri mwambie weka mwingine huko afu tuone nani atashinda.
Wewe tazama hao ma Miss world siwanashidana na wanawake wenzao kuchaguliwa nani mzuri....Mbona hawaogopi kushindwa, sababu wanajiamini wazuri watashinda tu.
Leo unakuta mke wa mtu anaogopa mwanamke mmoja tu au wanne kushindano nao...Si ndo ajabu.
Sasa mbona kila kukicha wanajaza mimba totoz au wake zao na hizo nguvu, wanazipata wapi?Canta usilinganishe vijana wa zamani na wa sasa. wazee wa zamani ni noma aisee. Wana nguvu ukilinganisha na hao vijana wako.
Ambao wanashindia mihogo, biscut, soda tena ya azam. baga
Naamini atanisaidia,kwani siku zote kile umwombacho mungu ndicho akupacho,Hapo kwenye highllighted umeongea point nzuri sana, wewe omba mungu tu akusaide.
Lakini hata mungu pia anatazama anaweza asikusaidie. mana kitendo hicho cha kuwa na mke zaidi ya moja yeye ndo kikipa ruksa
Aisay point taken, lakini hazitutishi sana mana kupata aibu juu ya kinene cha mwanamke ni bora kuliko kukikosa kinene chake...Mimi sitaviwachia mpaa pale nikona kweli vimenishinda.Kuna ukweli ktk alichosema mwanzisha thread ila atofautishe zama.
Zama zileeee nature iliweza kudhibiti mwanamke - alizaa, akanyonyesha na kuzaa tena na kunyonyesha mfululizo hadi ama afe au afike menopause. Hiakuwa mali kwa mwanamke kumfuatilia mume kujua anafanya nini.Pia wanaume waliweza kuwa na rundo la wake/wanawake -na hata watumwa na wajakazi na wote walikuwa halali yake.Mfalme Suleiman alikuwa na wake 300 na concubines 700!
Siku hizi wanawake wako huru kutokuzaa, umri wanaishi miaka mingi, hawana kazi za shurba kiviiile... so muda mwingi wanahaha kujua waume zao wanafanya nini.
Pia wanaume wa siku hizi nanyi msijishebedue sana.Performances zenu zimeshuka inabidi mpunguze mishemishe.NATURE HAINA UBAGUZI NI SWALA LA WAKATI TU.MTATULIA BILA KUPENDA KULIKO KWENDA KUJIAIBISHA HUKO MNAKOENDAGA
Hebu muombe mungu akupe ufalme hapo tuone kama atakupa...Si kila unacho omba mungu anakupa.Naamini atanisaidia,kwani siku zote kile umwombacho mungu ndicho akupacho,
Na siku zote kile akifikiriacho mtu ndicho humtokea,
So naamini mungu atanisaidia na km ikitokea yakanikuta basi mungu anajua ninao uwezo wa kutoka ktk jaribu hilo na nitatoka tu.
Nani anaye sema binadamu hatosheki? Ubaya wako unasikiliza sana nyimbo...hayo ni mashiairi tu baba.Kuna haka kawimbo nimekakumbuka........
"Eee.. jamani, mwanadamu hatosheki,
Hata ukimpa nini, milele hatoridhika eee..............."
Aisay sijaona hii point nimebidi kuirudia mana pale nilikuwa na haraka na kazi zangu...Hebu kwanza nikulize wewe unamfata Yesu sio.Kwanza maisha ya ndoa yanategemea ni ndoa ipi mlifunga,km ya kikristu hii kitu ya kuruhusu mume alete mke mwingine haipo na akifanya hivyo ni makosa hivyo hata mm sitamruhusu,km atafanya huko bila mm kujia atajua yy na mungu wake,
Kuna ukweli ktk alichosema mwanzisha thread ila atofautishe zama.