Wanawake ngojeni ni wape siri-kuhusu sisi wanaume

Useme kabisa ni wanaume wa aina gani nyie, pengine wapo wasiopenda wa aina yako wasije wakajisumbua na hiyo "siri".
 
Ndoa zinachangamoto."blessed onces are not yet married"
 
Hahahaha,dah imebidi nicheke tu maana mrembo wangu kacheka sana
baada ya kusoma hapa na kuniita nije kuona,sijui ana maanisha nini.
Aaaa huyo mrembo wako ana akili sana, anataka kukutisha tu.

Lazima ufahamu siku zote wanawake wanatafuta point ya kumtisha mwanaume....Huyo kakuita usome mwenzake anasema nini.

Anakusudia eti itafikia time kutokana na nature ya life zetu tutawacha tu hayo mambo...Kasahau nature inaenda na wakati, yeye mpaa angojea nature ichukue nafasi na yeye ksiha kwisha hana lake.

Asikutishe huyo mrembo wako, na we mpe hii point yangu....Nyumba hata iwe na ghorafa 120 Paintbrush moja tu inaweza kupaint vyumba vyote....Hata kama ni kazi kubwa.
 
Useme kabisa ni wanaume wa aina gani nyie, pengine wapo wasiopenda wa aina yako wasije wakajisumbua na hiyo "siri".
Kama spendi vipi nipende.

AFU NINI MANA YA KUPENDA, kupenda kuna mana nyingi sana....hata kuwa na wanawake wengi lazima ujuwe kupenda kama huji kupenda huwezi kuwapata.
 
Ndoa zinachangamoto."blessed onces are not yet married"
Wewe ullizaliwa vipi, kama sikutoka kwenye ndoa.

Usikimbilie kuongea lugha ambayo si yako, itakutia aibu.
 
Kweli sex si love unaonaje kama unamke au mchumba umruhusu tu afanye hiko kitendo na mwanaume mwingine ili akuapriciate na kukupenda zaidi coz atakua haku cheat atakua anakuambia ukweli kila kitu.
 
Ndoa ni mtu mwenyewe unataka kuiendeshaje?
 
Dark City.....yuko waapi??????
tumepata Chairman wa polygamy club.......hapa......lol

hahah mkuu The Boss....huyo ndo fazaa....tumetoka naye mbali sana huyu....hajaacha style yake tu...hahahah
 
@Fazaa,mie wala ckimbilii kwenye dini ila ww ndio unanipeleka huko,na tangu mwanzo nilishasema cpingan na mada yako wala ckubalian nayo,najua ndoa inachangamoto nyingi ikiwapo,ww mtazamo wako ni huu nami pia nikishaolewa nitakua na mtizamo wangu kulingana na nitakayokutana nayo!na namwamin mungu wangu chochote nitakachomwomba kwa iman atanipa haijalishi ni kitu gani!
 
Kweli sex si love unaonaje kama unamke au mchumba umruhusu tu afanye hiko kitendo na mwanaume mwingine ili akuapriciate na kukupenda zaidi coz atakua haku cheat atakua anakuambia ukweli kila kitu.
Babe wacha kuongea uko kwenye hasira haya ndo matatizo yake.

Sex toka lini wewe ikawa love....na wale wanawake wakiwa rape wanakuwa wako kwenye love?

Sex inawez akuwa love kama una mke, na sex inaweza kuwa si love kama unapenda ku sex....umeona tofauti yake.

Point ya kusema nimruhusu mke wangu kuzini, hapo naona unaongea kama vile mtu alilzwa hospitali ya wendawazimu....ndo kwanza anaomba kuruhusiwa eti kisha pona.

Babe; Mwanamke hana choice sababu hajaruhusiwa na Mungu kufanya sex zaidi ya mme wake....na haruhusiwi kuolewa zaidi ya mme mmoja unaona tofauti...hayo c maneno yangu ni maneno ya Mungu.
 
Kama spendi vipi nipende.

AFU NINI MANA YA KUPENDA, kupenda kuna mana nyingi sana....hata kuwa na wanawake wengi lazima ujuwe kupenda kama huji kupenda huwezi kuwapata.
Nimeuliza ni wanaume wa aina gani wanaohusika na hiyo "siri" unaniambia habari ya wewe kupenda.
Kaaaazi kweli kweli.
 
Mimi sipo hivyo,pia sijawahi ona,au hawa ni wa kutoka Mars?
Kama huna point si useme huna...sio kuandika tu, hatushindani ku post hapa.
 
hahah mkuu The Boss....huyo ndo fazaa....tumetoka naye mbali sana huyu....hajaacha style yake tu...hahahah
Hahaha we wacha mazee, mana kila tukikuwa ndo wasichana wanazidi kujipodoa.....Inabidi tuwarudie tu.
 
Sawa sawa hapa niko na wewe....Big up!
 
Nimeuliza ni wanaume wa aina gani wanaohusika na hiyo "siri" unaniambia habari ya wewe kupenda.
Kaaaazi kweli kweli.
Na wewe naye Sometimes hujuwagi kuliza...ungesema toka mwanzo hivyo :biggrin:

Well kuhusu wanao fanya hayo ni wengi aisay siwezi kuwahesabu, mana nikianzia China mpaa South Africa ni Billion ya watu.

Yani kwenye kamtaa taa haka napo ishi basi kila mmoja lazima ana babe'z pembeni sijui mitaa yenu, hebu wachunguze afu unipe feed back...Sawa.
 
Haya Tausi Kisa cha Kushout?:A S embarassed:
 
Ngoja nirahisishe swali zaidi maana "wengi" sio aina.

Je ni Wanaume ambao ni wanaume kweli au ni wanaume ambao bado ni wavulana?
Ni wanaume waoji au waolewaji?
Ni wanaume wanaojitambua au malimbukeni?
Ni wanaume wanajishughulisha au wanaoshughulishwa?
Ni wanaume wanaoleweka au ni wasanii. . . ?

Sitegemei hapo napo ushindwe.
 
Hahaha we wacha mazee, mana kila tukikuwa ndo wasichana wanazidi kujipodoa.....Inabidi tuwarudie tu.

sasa sijui turudishe na sisi miaka nyuma au vipi

aloo apo juu naona unatoa somo la sex and love...si tumegraduate zamani hii?😛oa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…