Wanawake ngojeni ni wape siri-kuhusu sisi wanaume

wa wapi wewe? kwahiyo mume wangu akiwa wa wake 20 ndo atatulia na mimi? unachekesha!
 
swala co kupenda,unaweza kushawishika na ngono utakayopewa ukaamua uoe kabisa,hapo utakuwa umependa m2 au ngono yake?vp ukijaribu kwa mwingine ukakuta kumenoga zaidi uadilifu utauweza??
Fata dini baba, wacha kufanya ngona kabla hajuoa.

Kama unafanya sex kabla hujaowa, ujuwe ni dhambi sana tena hairuhusiwi...Mwanamke akisha kupa vitu vyake, basi wewe piga mikasi tu, usiowe kabisa.

Huyo ulisha kula tunda lake na limekuingiza kwenye dhambi mwanzo, nalita kupeleka kwenye moto mwishoni.

Mkitaka kuoa oweni wale walio ficha matunda yao, mpaa mmefunga ndoa ndo mnakula matunda yao.

Yani aisay akitokea demu akanivulia chupi, basi huyo na kula vitu afu nakata kona....Wacha aniite mshenzi au shetani mkubwa wala sijali, mana mimi na yeye wote tutakuwa kundi la shetani tu...Hatukumsikia mungu toka mwanzo tutamsikia badaye.

Sasa kwa infomation yako; Hakuna kitabu cha dini kimesema tufanye ngona kwanza, afu ndo tuowe hao wanawake.

Aisay hebu tuwache mambo ya kidini kwenye hii thread, mana naona wengi dini hamzijui.



 
wa wapi wewe? kwahiyo mume wangu akiwa wa wake 20 ndo atatulia na mimi? unachekesha!
Tatizo wewe unaona nachekesha, lakini ukweli sichekeshi.

Wapi nimesema, mme wako aowe 20?

Nimesema step by step 1 up 4 kama anauwezo mkubwa sana.

Kama anao uwezo mkubwa mkubwa watatu.

Kama uwezo mkubwa kiasi wa wili.

Kama hana Mmoja tu, tosha.

Sasa turudi kwenye point wewe unagarantee gani, kama mme wako hana mahawara zaidi ya 20? Na wengine badhi ya wanawake mnajua kabisa waume zenu wanazini nje, lakini mna bana kimyaaa....Sasa tuwaite vipi hapo, vipenzi vya shetani?

Lakini mme wako akisema anatka kuoa mke wa pili inakua vita, na wakati mungu anaruhusu....Hapo tuwaelewe vipi? Shetani anapuliza moto kwa wingi mpaa hamuoni.
 
Ndo maana hata mie natafuta wafuai wa Molygamy.
Ya nini mtesane kung'ang'aniana wakati mnaweza fanya kolabo na watu wengine bila kuvunja ndoa yenu?
Uhuru wa mwandishi aidhuru tabaka tawala tu.

yaani member namba moja umenipata! Mbona fair tu.. Kila mtu anaenda kufanya majaribio kwingine tukirudi ndoa kama kawaida! Wanaume lazima muelewe hata sisi tuna hisia mnavyo fantasize about other women we do the same thing about other men only that we can control ourselves but U CANT!
 
Fazaa utapatana sana na mzee yusuph wewe!
 

Je, tukiigeuza hii thread ili iwe kwa ajili ya Wanaume kwamba wawaruhusu wake zao wawe na Wanaume wengi nje ya ndoa kwa sababu "sex differs from love." je, njembas tutakubali? au ndiyo yatakuwa yale yale mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!?

 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa hata Mungu alisha fahamu nyie mnaweza kujiicontrol, weldone, asifiwe aliye waumba.

Na Mungu alijua ngoma iko kwa wanaume lazima waende nje, ndo mana katupa option tuowe na tusifanye sex kama wanyama.

Mana anaye fanya sex kabla hajaolewa au hajaowa ni sawa sawa na mnyama...Si una ona beberu na mbuzi , au paka na mbwa wanavyo pigana miti njiani.

Aisay asante sana kwa point yako nzuri, najua hutapendezewa kwa jawabu langu.
 

umepindisha point iwe at your favor lakini ujue mwanaume alie kamili huridhika na alicho nacho no woman is better than the one and only wife you have! hao wengine wanaoongezeka ni usanii tu mwisho mzoe magonjwa!
 
If you programme your mind to do it you can do it.
 
Sasa ndugu wewe na mimi hatuwezi kushindana akili na Mungu.

Hebu tazama point moja, chukulia wewe uruhusu mke wako afanye sex na mwanaume, mtoto akizaliwa nani atakuwa baba yake?

Usilete mambo ya DNA....DNA can give incorrect results.
 
Last edited by a moderator:
umepindisha point iwe at your favor lakini ujue mwanaume alie kamili huridhika na alicho nacho no woman is better than the one and only wife you have! hao wengine wanaoongezeka ni usanii tu mwisho mzoe magonjwa!
Kwenye highlighted hapo mbona kawaida tu hakuna nilicho sema wrong.

Kuhusu point yako, yakusema huyo mwanamke hawiezi kuwa better than my wife, your absolutely right, usisahau hata mke wa pili ni my wife pia.
 
LOL! Hivi akili za Mungu ulizijulia wapi!?..... yale yale ya mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Kwa hiyo wewe kuwa Baba kwa mtoto wa nje ni sawa lakini Mwanaume mwingine kuwa Baba wa mtoto kupitia mkeo ni kosa kubwa sana!!!!! Fungua macho kaka acha umimi!!!! Dunia ya 2012 ni tofauti na mwaka 47.


Sasa ndugu wewe na mimi hatuwezi kushindana akili na Mungu.

Hebu tazama point moja, chukulia wewe uruhusu mke wako afanye sex na mwanaume, mtoto akizaliwa nani atakuwa baba yake?

Usilete mambo ya DNA....DNA can give incorrect results.
 


Hilo nalo neno....LOL..πŸ™‚ Willl you....?:juggle:
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

BAK you are truly exceptional. ASANTE SANA.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…