lets put it this way, all women and men are human beings. they are borne pure and perfect but due to iniquities and lack of faith, they may turn angles or devils in the human realm or reality. but for God they remain humans forever. kama akitenda wema hageuki malaika na hata angekuwa mwovu namna gani hageuli shetani. hivi ni vijisifa tu vinavyokusudia kuridhsha nafsi ya anayevitoa kinywani lakini tukitenda wema tumetimiza wajibu wetu (na kwa kweli ndiyo asili yetu) na tukitenda mabaya tunakuwa tumekataa kutimiza wajibu wetu (na hiyo siyo asili yetu) kwani Mungu alituumba na tukapata kuzaliwa tukiwa safi, wema na watakatifu. sio Mungu aliyetuacha hadi tuwe katika hali hii, bali maovu yetu yametufarikisha sisi na Mungu wetu na dhambi zetu zimeuficha uso wake tusiuone (isaya 59:2, unaweza kusoma sura nzima kwa uelewa zaidi). unaweza pia kusoma warumi 7:14-25 ili kuona kuwa kuna mfarakano mkubwa sana nafsini mwa mwanadamu kiasi kwamba lile jema alipendalo halitendi na lile baya asilolitenda ndilo analolitenda.