Wanawake ni hatari anayebisha nipo Kinondoni

Yaaani ndani ya muandiko nauona utoto mwingi,na ujuaji samahan lakini mleta mada,jitahidi kua na lugha moja katika kuandika maana hio lugha ya ng'ambo kidogo inakupatia shida.
 
Wanaume wanaopelekeshwa na wanawake ni hawajielewi , mwanaume unakubalije kuwa mtumwa WA pesa za mtu!!![emoji276]
 
Wanaume wanaopelekeshwa na wanawake ni hawajielewi , mwanaume unakubalije kuwa mtumwa WA pesa za mtu!!![emoji276]
Sure, kuna saa akili ya kiume inafanya kazi na kutangulia mbele akili ya kike, binafsi wazo la mwanamke nalifanyia kazi kesho na sio leo baada ya kutafakari, ingawa nasi tukiwa na mihemko ya juu akili inahama kidogo ila haichelewi kurudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…