Nadhani hii si sifa ya kufanya wanawake ni jeshi kubwa. Kuwa complicated ndio kunawafanya mkose hata vigezo kwenye nafasi za uongozi sababu mko too fragile kwenye kumake maamuzi.Ukibisha sikushikii fimbo.. Weekend njema. View attachment 808481
Hautakiwi Kumpenda Mwanamke bali Mdanganye kwa Akili ahisi anapendwa!
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo jamaa kuna nyapu anailia timing, ndo maana anazuga kwa maneno matamu matamu.