Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 316
habari wandugu;
Katika maongezi mbalimbali na wanawake tofauti, nimepata picha kuwa, kwa maoni yao, ni nafuu kwa mwanaume wake (mume, boyfriend) ku-cheat na mwanamke mwenzake kuliko ku-cheat na lidume - aka homosexuality! Kwanza...je wanawake mnakubaliana na hili?
Pili, kama ni hivyo, kuna mambo machache ningependa kujua. Kwangu mimi kama mwanaume, mke aki-cheat na mwanamke mwenzake au mwanaume mwingine, yote ni level moja ya kosa! Yani jinsia haijalishi bali kosa lenyewe.
Je,kwa nini wanawake wanatofautisha haya makosa mawili kulingana na jinsia?
Ina maana wanawake hu-feel kuwa primary objection yao ni kuwa-service madume kiasi kuwa ikitokea mwanaume atakayemsaidia katika hii shughuli, ni sawa na kumdhalilisha huyu mwanamke katika kutimiza hii objection yake na hivyo inamshushia hadhi ya kuwa mwanamke kamili?
Kwa nini mwanamke aumie zaidi kama mwanaume ata-cheat na mwanaume kuliko mwanaume ku-cheat na mwanamke?