Wanawake ni vipande vipande, wanangoja kukamilishwa...!


Kaunga umechakachua huu uzi wa Mtambuzi, nachelea kuongeza neno lolote hapa ....
 
Mkuu, nimesoma huu uzi, na kwa kiasi fulani sipingani na watafiti hao, hasa kwa kuwa umeweka dhana ya jumla bila ya data. Lakini pia mimi ninao ushahidi wa mmoja ninayemjua (sitauita utafiti) wa rafiki yangu msichana, ambaye "kwa kukosa mapenzi ya baba utotoni, na kwa kukosa mahusiano mazuri na baba yake" ameishia kutafuta "yule baba aliyemkosa alipokuwa mtoto" ndani ya wanaume watu wazima sana kuliko yeye. Hii ni kwa kwa mujibu wa maneno yake mwenewe baada ya kumwuliza na kunielezea mkasa wake.
:focus:Unaweza kuwa sahihi katika uchambuzi wako, lakini naogopa kuchangia kwa sababu sitaki ku"generalize".
 
uko kweli mchunguzi hata siku moja wanawake hata iweje huwa hawajiamini ndio maana kutoka na hili somo naona kipande kipande kinawasababisha wasijiamini. hata kufurahia nini una mwambia maana yeye hujiona ni wadhamni muda wote hata akiwa ni polygon ukimsifia atajiona yuko juu sana
 
Fixed Point .... Na nimewaza kwa usahihi kabisa...........au?
usi-generalize Mtambuzi, hii iishie kwa hao hao wanaojihisi vipande vipande, kuna wengine wengi tu tunajiona TUMEKAMILIKA.
sioni kwa nini mtu uone furaha KUAMBIWA kiungo chako fulani au wewe ni mzuri na mtu mmoja, bila kujiridhisha mwenyewe, after all kizuri kwa mmoja kinaweza kuwa kibaya kwa mwingine.
la maana hapa ni kujipenda mwenyewe, maoni ya watu woote hutayajali kama unajipenda the way you are
 
Last edited by a moderator:

Tuko pampoja........Adamu hakukamilika ndio maana akaletewa Eva na Adamu akaijiona kamili na kutoa maneno..."hakika huyu ni nyama katika nyama yangu". Bila mwanamke mwanaume hajakamilika, huo ndio ukweli, wanawategemea wanawake mwa mambo mengi sana.
 
True that, naunga mkono hoja.
 
Naomba kuuliza swali, kwanini mwanaume kapewa head of the family?
 
Wao wamekamilika bwana ndio maana siku hizi wanaoana wenyewe kwa wenyewe! They real dont need us at all; go guys Cameroon ameshawapa go ahead na wala si MUNGU.

Tayari ikulu ishapigwa mawe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…