Nadhani haujaelewa nilichosema. Wewe kila unapokataa mwanaume kwenye supply yako wanaume wanazidi kupungua as una age.
Mwanaume anapokataliwa na mwanamke leo kesho kuna wanawake kumi zaidi wa kutongoza na katika kumkataa pengine ni watatu saba watamkubalia na wanne watamlilia.
Kama unabisha nambie wewe mwanaume akisha kutongoza na akakubembeleza siku akiacha anarudi tena?!