Wanawake ni waathirika namba moja kwenye penzi

Kwani yote hayo lazima?
 
Wanaume wengi sana tunajua hili. Tatizo wanakaza tu vichwa. Mwamba ngozi huvuta awake.
Hahaha kabisa , binafsi mimi ni kibaka tu, na kuliko nimdanganye mwanamke bora niseme ukweli au nimwache kwa siri , mwanamke akishakutunuku tunda kakuamini mno
 
Stress za kujitakia


Huwa mnadanganyana sana na hayo mambo yenu ya unconditional love.
Sielewi mtu unaanzaje kuzaa mtoto zaidi ya mmoja na kapuku!

Cc: leo dada
 
Wao hawajioni kama ni waathirika wa mengi kati ya hayo uliyoyataja mkuu. Ndo maana hawatupigi risasi za vichwa au kutuua kwa mashoka tunapowatelekeza. Women handle stress better than us.
 
Wape wanawake uwezo wa elimu na uchumi, mengine wataamua wenyewe.
Kabisa , hapo ndipo lilipo suluhisho kuu, sema nao vijana wa kiume kuna namna wanapaswa kufundishwa kuishi na wanawake wanaojitambua hasa kwetu afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…