Kapuku ni mtu wa aina gani?Stress za kujitakia
View attachment 3694790
Huwa mnadanganyana sana na hayo mambo yenu ya unconditional love.
Sielewi mtu unaanzaje kuzaa mtoto zaidi ya mmoja na kapuku!
Cc: leo dada
Nna mtoto mmoja wakuzingiziwaπ€£π
Maskini ambaye maisha yake kiuchumi ni ya kuunga unga na hana kipato cha kueleweka.Kapuku ni mtu wa aina gani?
Hahaha mwenyewe kuzaa na kapuku hasa wa akili mtihani sanaπ nikishaona huyu dem chenga bora nikojoe nnje kwa wivu mkubw tuππStress za kujitakia
View attachment 3694790
Huwa mnadanganyana sana na hayo mambo yenu ya unconditional love.
Sielewi mtu unaanzaje kuzaa mtoto zaidi ya mmoja na kapuku!
Cc: leo dada
Ooh,nimeuliza maana kuna siku niliona uzi wa makupuku humu ndani!!Maskini ambaye maisha yake kiuchumi ni ya kuunga unga na hana kipato cha kueleweka.
kapime DNANna mtoto mmoja wakuzingiziwaπ€£π
Kiasi wanawake ni wavumilivu tuLakini Ukija kwenye uhalisia vilio vingi vinatoka kwetu Sisi wanaume, Yaani Sisi tunaumia na kuonesha zaidi kuliko hata wanawake wenyewe, unaweza kumhurumia mwanamke ukadhani anateseka kumbe yeye mwenzako anaona kawaida wala Hana shida Sana...Ukitaka kujua kama Sisi ndio tunateseka Sana kuliko wao basi Fanya sampling mitandaoni, Kila siku tunawasema wanawake zetu "Mara hivi ama vile".. Ukiangalia hata visa vingi vya mauaji ni Sisi wanaume ndio wa Kwanza kunyoosha mkono kwenda Kwa mwanamke....
Hapa unawazungumzia wanaume dhaifu bila shakaCha ajabu wanao ongoza kwa kulialia ni wanaume!
Na hapa ndipo kitu kinachoitwa nyeto kinapojitokeza na kuonekana msaada πHahaha mwenyewe kuzaa na kapuku hasa wa akili mtihani sanaπ nikishaona huyu dem chenga bora nikoje nnje kwa wivu mkubwa tuππ
kapime DNA
Huwa hayatokei yote kwa Wakati mmoja, moja huwa linasabisha lingine na lingine nalo linasabisha lingineKwani yote hayo lazima?
Kama wanafit kwenye hiyo definition niliyoielezea basi hawastahili kuzalisha wala kuzaa.Ooh,nimeuliza maana kuna siku niliona uzi wa makupuku humu ndani!!
Yani watoto wako uwarithishe ukapuku wa akili, ni ujinga wa hali ya juu.Hahaha mwenyewe kuzaa na kapuku hasa wa akili mtihani sanaπ
Ila Mangi you know better, kukojoa nje hakusababishi ushindwe kuzalisha, kuna pre-ejaculation pia.nikishaona huyu dem chenga bora nikojoe nnje kwa wivu mkubw tuππ
usikae kinyonge mchukue dogo na 400 kapime DNA.Hakuna hat hahaha mkuu
πDah nyeto nilipiga kitambo π
Dah nyeto nilipiga kitambo π
Wakalitazame HiloKama wanafit kwenye hiyo definition niliyoielezea basi hawastahili kuzalisha wala kuzaa.
Ni kweli ila sijawahi mbato na ndom baada ya kucheki afya ππ nimetumia njia hiyo kwa wale wenye mashaka na mimba ila hawakupata mimba , unajua bao la kwanza tu ndio lina kiherehere π π π ?Kama wanafit kwenye hiyo definition niliyoielezea basi hawastahili kuzalisha wala kuzaa.
Yani watoto wako uwarithishe ukapuku wa akili, ni ujinga wa hali ya juu.
Ila Mangi you know better, kukojoa nje hakusababishi ushindwe kuzalisha, kuna pre-ejaculation pia.