π
π
π
π
π
kwanza nchekeee!!
Mshikaji wangu Homeboy alikuwa na Demu hapo Mwanza Town so alikuwa amepata demu mkali wa Kisukuma bomba sana.
Waliishi mida mida hivi kama miaka miwili hivi. Wakisaidiana maisha yanaenda kimtindo.
Ofcourse mwanamke alikuwa na vikazi vyake vya hapa na pale anapata kipato japo cha kwenda chooni.
Kutokana na kipato hafifu Mwanamke alikuwa amepanga Chumba kimoja analipa 50k.na hata hivyo ilikuwa mbinde kupata Kodi ya mwaka so bwana wake akawa anamlipia sometimes.
Sasa imetokea Mwanadada kahamia sehemu nyingine akachukua master room 100k. Na sasa analia lia kuwa hana kodi so Mshikaji amlipie.
Kutokana na Homeboy mazao yake ya kilimo hayajastawi vizuri kutokana na mwua hafifu hana huo msaada kipindi hiki. Sasa Homeboy anauliza inakuwaje ulikuwa unashindwa kodi ya elfu 50 na sasa unachukua room ya laki?
Niliacha juzi kati huko penzi lao linafukuta moto.
Wanawake jamani au kapata bwana jipya?