Nyie wanawake ndo maana jamaa zenu wanatoka nje, hii ninaonesah ni jinsi gani hamko wazi.... nafikiri hii thread imekuwa kama tryout stage kwenu. Mr perezidaa hapo anataka kumaanisha kuwa you have to express what you nee from your love/ h.band. Tatizo wengi wenu mnajifanya wasiri, na mnaona aibu, haya sahuri yenu. FUNGUKENI.........
MSHAWAHI KUENDEWA CHUMVINI?.