Wanawake Njooni Tuongee:- Kwanini mnaolewa na msiowapenda na Kwanini mkiolewa mnachepuka??

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
6,958
Reaction score
16,358
INTRODUCTION.
YANGA Bingwaaaa
Nyie Hamuogopi??

BODY:-
Wanawake unajua nyie ni dada zetu, mama zetu, Shangazi zetu, rafiki zetu, N. K naomba niwaulize swali hili
1. KWANI LAZIMA KUOLEWA NA USIYEMPENDA??
2. UKIOLEWA KWANINI UCHEPUKE??
3. HIVI MNAJUA KUWA KUOLEWA HAKUNA UMUHIMU WOWOTE?

SCENARIO.
Kwenye hii mada yangu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Kuna hiyo Pisi namba 5.

Hii pisi bana ndio alikuwa baby wangu.
Kipindi hicho nilikuwa kila nikienda Mbeya lazima nishukie kwake then ni mwendo wa mabao tuu.

Shopping kwasanaa Kabwe, Mwanjelwa, Uhindini na kwengine.
Bata kwa sanaa Mbeya Pazuri, Nasoma, City Garden na Kwengine

Kifupi Tulispend sanaaa maishaa ya mapenzi.

Akaleta pigo za "Nataka kuolewa" Nikamjibu ""Mimi sioi"
Kwa jibu langu hili akawa mbogo, full kununa, na kisirani.

Nikakaa pembeni.

Ghafla akapost picha FB kavaa shela, kwenye kumfata inbox na kusoma comments "ilikuwa sendoff" nikambariki na kumtakia ndoa njema na nikafuta namba yake mazima.

PROBLEM.
Sasa bwana tokea mwaka huu mwezi wa 5 amekuwa akinisumbua sanaa "Eti turudiane" kuolewa Alikurupuka..!! Bado ananipenda..!!!

Nikaona huyu "Ndezi" nikamjibu ""Mke wa Mtu Sumu""

THE BIG PROBLEM.
Amekuwa akinilazimisha sanaa nimgegede yaani amevuka mipaka.
Yaani hamuwazi mumewe ni kama yupo Single kwenye ndoa...!!!

Leo kanitumia meseji tokea alfajiri ni kulalamika tuuu..!!!
Shida gani hizi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


Anaishi Mbeya, Chimala.
Ni mke wa mtu, watoto wa3 (1 single 2 mapacha) ila kutwa anashinda kwenye inbox yangu kubembeleza Mgegedo..!!!


Yaani anajishusha thamani kisa mimi X wake, huku mumewe yupo.

Kama alinipenda....
1. KWANINI ALIKUBALI KUOLEWA?
2. KWANINI ASINGEKUBALI TU KUGEGEDANA BILA NDOA??

CONCLUSION.
Aiseee masele na mabaharia mlioa MNAGONGEWA BALAAA
Muogepe sanaa
1. X wa mkeo
2. Classmate wa mkeo
3. "Bodaboda wangu" wa mkeo.
4. "Mchungaji wangu" wa mkeo.

Kifupi:-
Wake zenu wanatulazimisha tuwagegede.
Na huu mbembelezo ""Mume kasahaulika kabisaaa""

Ningekuwa ndezi na akili finyu, Tarehe 31/07 mpaka 10/08 nilikuwa nanenane Mbeya.
Ningeweza kumvuta nitombeee siku zote, maana alisema ""Aje Mbeya halafu atafute cha kuagia"' eti watoto ni wakubwa hivyo kuwaacha na beki tatu isingeleta shida..!!!

#YNWA
#YANGA BINGWA
 
Uko wapi.....☺️
 
Kazi kwelikweli. Ukijidekeza mwishowe utaanza kulia barabarani ukijua mkeo anadokolewa na msela wa stendi.
 
Nyama ya msiban huwa ni tamu wakat imepikwa kawaida sana
Sometimes mtu anacheat kubadilisha ladha na kuexperience vtu vipya sio kwamba akupendi au kaolewa asipopenda
 
Kuoleqa sababu ya kitu na sio mtu ndio shida hii
 
Hujakosea ni 95% wako kwenye ndoa na wanawake fake na hadithi ni hizo hizo, I thank you God nimewawekea heshima kubwa ma ex zangu na wako wanipa heshima kubwa sana
 
Kiuhalisia ndoa ni mahusiano yenye boundaries .....kama changamoto zimewazidi msikariri ongezeni au punguzeni boundaries ili kujitosheleza.
(In General).
NB;sifaidishi upande wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…