Wanawake: Nywele za sehemu za siri ni kero na karaha

hayoooo yooote tisa ......kumi visiki vya chini bana weeee!! yaani vile kote kote vina hamsha hamsha sana! yaani mawili tu visiki na msitu ulio funga baaasi kazi mmemaliza!! siri iko hapo wkt wenzako wanafyeka msitu wewe weka visiki uone!

yaani ukijigonga tu visikini wkt unapita zako ivi lazima ilete amsha amsha!...ajabu kazi ikikolea vinalegea sijui kuna ninii pale
 
Naam
 
Kama unaweza kustahmili kiduchu basi fanya waxing ya sukari mwanzo utahisi inauma lakini ukisha zowea haiumi,ila nywele zina chelewa kuota wanafanya dar kuna saloon nyingi au kuna wadada wanakuja nyumbani kukufanyia kama unataka.
Huo nao mtihani, kwenda kuweka wazi sehemu za siri kisa kunyolewa jamani mhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…