Wanawake pia wana ndoto zao kimapenzi

Inawezekana upo sahihi!! Hata sie tuliona ujinga ila jambo hili angefanya mzungu angeonekana wa maana!!
Mwache anatukama ndoto za m.mke mwenzie.Ukiingilia anaweza akakuchukia.... Kama yuko JF,mtag ajibizane huku....haaah (am kiddn)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…