Nashukuru leo nimefanikiwa kulinda wallet yangu maana ilibaki kidogo niombe namba ila nimenusurika.Akiiileta kaa nayo mbali, geukia upande mwingine, msemee kwa konda !
#Linda waleti yako
Mkazi WA Dar ww pande zipi hizoKwanza kabisa samahanini Dada zangu sina lengo baya ila ni kuwekana sawa.
Naelewa kuna changamoto sana katika masuala ya usafiri muda mwingine hamna namna kabisa inabidi tubanane mithili ya kukumbatiana.
Ila inapokua haina ulazima wa kufanya hivyo basi baadhi ya kina Dada mliobarikiwa mizigo naomba mpunguze kutusogezea, sisi wengine ni maji mara moja maharage ya mbeya ukitusogezea mzigo mnara unasoma 5G hapohapo hata bila kupenda.
Swali langu ni je hivi kuwa hamuhisi kuna kitu kigumu kinakugusa? Je huwa mnakua comfortable?
Binafsi huwa nakua sipo comfortable kumgusa mwanamke nikiwa katika hali hiyo ya 5G hali yakua hatuna uhusiano wowote , leo hali hii nimekutana nayo kwenye Daladala nimejitahidi sana kukwepa na kusogea nyuma ila Mwana Dada aliekua mbele yangu alikua anajiachia sana na kurudi nyuma kila ninaposogea nyuma.
Hivyo tafadhali naomba mpunguze kutusogezea, kuna watu wengine koki mbovu mtakuja kuloana.
Naweza kukubaliana na wewe niki refer kwa mwanadada niliekutana nae leo kwenye Daladala, alichokua anafanya ni makusudi na siyo bahati mbayaWanapenda sana hako kamchezo, ila ndo ivo sio wawazi.
Wengi wana upwiru, bahati mbaya hawawezi kusema waziwazi wanakaza.
Hukuona ile clip jamaa mpaka alitoa dushe kabisa na mwanamke anaifata kila inakoenda?Naweza kukubaliana na wewe niki refer kwa mwanadada niliekutana nae leo kwenye Daladala, alichokua anafanya ni makusudi na siyo bahati mbaya
Ukijichanganya ukiomba namba tu,,,, ushakuwa mtatuzi wa shida zakeNashukuru leo nimefanikiwa kulinda wallet yangu maana ilibaki kidogo niombe namba ila nimenusurika.
Kwa sasa simlaumu tena Adam kwanini alirubuniwa hadi akala tunda, maana vishawishi vina nguvu sana hasa vya wanawake.
Leo aliekua kasimama nyumba yangu alikua Mashallah kuliko alie mbele yangu lakini wa mbele yangu nae hakua mnyonge alikua na point za muhimu alizomzidi wa nyuma yanguNoma sana yani... Unakuta kubabaaabanye upande huu Manzil upande huu Manzi ...na vijingua vyao vya siku hizi una "lifeel" tako kabisa Yani ni balaaa ukigeuka unalo ukigeuka unalo inabidi tu ujitege mkao wa kasa... Daah ...