Wanawake punguzeni kutusogezea kwenye Daladala

Hayo Mambo mim ndo nayapendaga balaaaa Yani huwa natamani tusifike mapema... Uzuri wake wenyew wanakuwa wanajuaga kuwa 5G ipo hewani na huwa hawashtuki ndo Kwanza wanakuwa wanakusetia vizuri nyashi.....
 
Huwa ni vyema kugeukia upande mwingine ili muwe opposite wengine hawajui kusimama kwenye dala dala, ila hili la akina dada kufanya hivyo lipo pia unaweza kuhisi anafanya kusudi ila ukimwangaliaunaona mbona kama hayupo kabisa Yani hajakusudia , ukifikiria vizuri yale maandiko yanasema wanaume wengi wanaenda motoni kwasababu ya fitina ya wanawake ndio utajua wengine huwa wanafanya kusudi na wanajua kabisa udhaifu wa wanaume ulipo
 
Hiyo hali mimi imenikuta leo kwenye dala dala hapa Mwanza,nimepandia pale Nyegezi kufika pale kituo cha kijiweni akapanda mda mzuri mfupi wa wastani ila ana mzigo haswa tena wa haja,basi akatuama mbele yangu kila nikifanya hv ana mm,aisee mpaka kufika Nata sijitambui,aisee yule dada..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…