Anauwaza mpaka analeta mada sababu hajamalizana nao...Mida mbovu sasa....akiupakata akifika kazini ndio kazi zitafanyika hapo
Itakuwa kila wakati anawaza mbuno tu...usicheze na mbuno weye
Mimi siwezi kulalamika ukinisogezea...Utasogezewa tuuuu, hadi siku utakaponunua gari lako!!
Pole subiria yenye siti, Dodoma usafiri hauko mbaya kama Dar!Hapana nipo Idodomia kwa sasa
Ni kweli wapo ambao wanafanya hivyo bila kuwa na nia yoyote huwenda wanashindwa kusimama vizuri, na hata huyu nilimdhania hivyo awali lakini mimi ni binadam naaakili timam nilielewa anachofanya ni makusudi kutokana na jitihada nilizofanya kukwepa na yeye alikua anayo nafasi ya kusimama bila kunigusa ila hali haikua hivyoHuwa ni vyema kugeukia upande mwingine ili muwe opposite wengine hawajui kuisimama kwenye dala dala, ila hili la kuna dada kufanya hivyo lipo pia unaweza kuhisi anafanya kusudi ila ukimwangaliaunaona mbona kama kama hayupo kabisa , kuifikiria vizuri yale maandiko yanasema wanaume wengi wanaenda moyoni kwasababu ya fitina ya wanawake ndio utajua wengine huwa wanafanya kusudi na wanajua kabisa udhaifu wa wanaume
Mkuu umeacha kumcc:Mahondaw!Mimi siwezi kulalamika ukinisogezea...
Nitafanya my assignment vizuri...
llHuu uzi umenipa nyege, ngoja nipite riverside nikachuje usiku huu
Usifanye maskhara na mbuno...halafu uwe mlainiiii unabonyea kama sponji ๐ซฃAnauwaza mpaka analeta mada sababu hajamalizana nao...
Angemalizana nao mbona asingewaza...
Ndembe ndembe... Unajiongelea au siyo...Usifanye maskhara na mbuno...halafu uwe mlainiiii unabonyea kama sponji ๐ซฃ
KinomaWallet linasomeka?
ll
Kama upo single na umejizuia na michezo michafu Kama kujichua sexual tension inakua juu sana , inawezekana jamaa alikua katika hali hiyo, hapo ukikutana na hawa wadada wanaokusogezea kwenye Daladala unaweza kupiga baoniliwahi shuhudia Jamaa alijikojelea kwenye daladala, halafu yule mdada anajifanya kushangaa, Jamaa alikua na muonekano wakistaarabu sana, aliadhirika kwa kweli.
Ni kweli hata mimi iliwahi nikuta bahati nzuri daladala haikuwa imekaa kiasi cha kubanana lakini dada akawa anajibana kila nikisogea NAE anasogea kuna bro mtu mzima alikuwa amekaa kwenye siti akaniangalia nikaona kama ameona huo ni mchezo nikahamia kabisa upande mwingine, sasa nilifikiria alikuwa anapigana nafasi kwa nani au lengo lilikuwa wanaopanda wasipate shida sikumwelewa kabisaNi kweli wapo ambao wanafanya hivyo bila kuwa na nia yoyote huwenda wanashindwa kusimama vizuri, na hata huyu nilimdhania hivyo awali lakini mimi ni binadam naaakili timam nilielewa anachofanya ni makusudi kutokana na jitihada nilizofanya kukwepa na yeye alikua anayo nafasi ya kusimama bila kunigusa ila hali haikua hivyo
Akaweka distance kama jina lako๐๐๐Hiyo hali mimi imenikuta leo kwenye dala dala hapa Mwanza,nimepandia pale Nyegezi kufika pale kituo cha kijiweni akapanda mda mzuri mfupi wa wastani ila ana mzigo haswa tena wa haja,basi akatuama mbele yangu kila nikifanya hv ana mm,aisee mpaka kufika Nata sijitambui,aisee yule dada..
Hatusemi kwa nia mbaya ni usafiri wa umma ndio ila sio vyema kufanya makusudi, kama tumebanana hiyo inaeleweka ni dharura๐ ๐Utasogezewa tuuuu, hadi siku utakaponunua gari lako!!
Mieeee. AkuuuuuNdembe ndembe... Unajiongelea au siyo...
Umesahau pichaKwanza kabisa samahanini Dada zangu sina lengo baya ila ni kuwekana sawa.
Naelewa kuna changamoto sana katika masuala ya usafiri muda mwingine hamna namna kabisa inabidi tubanane mithili ya kukumbatiana.
Ila inapokua haina ulazima wa kufanya hivyo basi baadhi ya kina Dada mliobarikiwa mizigo naomba mpunguze kutusogezea, sisi wengine ni maji mara moja maharage ya mbeya ukitusogezea mzigo mnara unasoma 5G hapohapo hata bila kupenda.
Swali langu ni je hivi kuwa hamuhisi kuna kitu kigumu kinakugusa? Je huwa mnakua comfortable?
Binafsi huwa nakua sipo comfortable kumgusa mwanamke nikiwa katika hali hiyo ya 5G hali yakua hatuna uhusiano wowote , leo hali hii nimekutana nayo kwenye Daladala nimejitahidi sana kukwepa na kusogea nyuma ila Mwana Dada aliekua mbele yangu alikua anajiachia sana na kurudi nyuma kila ninaposogea nyuma.
Hivyo tafadhali naomba mpunguze kutusogezea, kuna watu wengine koki mbovu mtakuja kuloana.