Wanawake punguzeni maringo

Wanawake punguzeni maringo

shuka chini

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
842
Reaction score
1,928
Wasalam wakuu.

Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wadada kuwa na maringo. Unakuta mwanamke miaka 40 kupanda unatongzwa halafu anaweka maringo. Mkae mkijua wanaume wa sasa sio wakizamani ukiringa wanakukaushia.

Mtu mwenyewe sura mbaya hali ngumu watoto kama wote kila mtoto na baba yake wanakuzalishi na kukuacha halafu leo unapewa laki unaringa wakati unanjaa kama zote Haya endelea kulinga utakuja kuzikumbukua.

Najua unaringa kwasababu nimekukuta kota na nimejenga nikakuacha kota kibaya zaidi nimehama na kituo cha kazi .mtu unamiaka kumi na moja kazini hauna hata kiwanja.mimi miaka miwili nipo kwangu.nabado utazehekea kota wewe sura huna unataka kusaidiwa unaringa endelea kulinga najua unaumia kwa niliyoyafanya kwa muda mfupi niliokaa kazini.

Utakufa na roho mbaya yako ndiomaana haunenepi .
 
Wasalam wakuu.
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wadada kuwa na maringo.
Unakuta mwanamke miaka 40 kupanda unatongzwa halafu anaweka maringo.

Mkae mkijua wanaume wa sasa sio wakizamani ukiringa wanakukaushia.

Mtu mwenyewe sura mbaya hali ngumu watoto kama wote kila mtoto na baba yake wanakuzalishi na kukuacha halafu leo unapewa laki unaringa wakati unanjaa kama zote
Haya endelea kulinga utakuja kuzikumbukua.

Najua unaringa kwasababu nimekukuta kota na nimejenga nikakuacha kota kibaya zaidi nimehama na kituo cha kazi .mtu unamiaka kumi na moja kazini hauna hata kiwanja.mimi miaka miwili nipo kwangu.nabado utazehekea kota mbwa wewe sura huna tako huna unataka kusaidiwa unaringa endelea kulinga najua unaumia kwa niliyoyafanya kwa muda mfupi niliokaa kazini.

Utakufa na roho mbaya yako ndiomaana haunenepi .
🤣🤣🤣 huo mchambo hatari sana, lishangazi limepita kushoto
 
Back
Top Bottom