Wanawake punguzeni maringo

Ulichokiandika sicho kilichokuumiza, kuna kingine
 
Punguza makasiriko braza
Anyway pole🤣🤣🤣🤣 kunywa maji moyo uelee
 
Mmh! Inaoneka umeumia Sana alafu itakua umpenda uyo ndio maana umeumia Sana. Pole Sana utapona tu.
 
Mbona makasiriko mkuu! Akijiona mzuri si unamkataa kininja tu kimya kimya bila matangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…