Wanawake punguzeni maringo

Nampongeza sana huyo mwanamke anajitambua na ametendea haki umri wake, 40 yrs ni mwanamke wa heshima anatakiwa kufuatwa au kutongozwa kwa staha na adabu, huyu huwezi mtongoza kama kibinti cha 22 yrs, kuna mwenzio atakula huyo mama hata kwa 20k wewe na laki yako umekimbizwa kwa kukosa adabu
 
kwamba huyu ni mwanaume amenuandikia mwanamke hapa sio?

kwamba mafanikio ni kujenga sio?

kama wewe ni mwanaume jitafakari,kuna mambo si ya kubishana na nwanamke wala kumsema sema.

Haya mambo ya kuona una mafanikio,mtu anayejitambua,atajua nyumba na magari au pesa ni vya kupita,mwanaume mkamilifu hajivunii mambo ya hivyo,bali utu;
 
Kama ulikua hauna nguvu za kiume lazima wakumwage, anyway sio vizuri Kwa mwanaume kulumbana, kusengenyana na wanawake
 
Kukataliwa na single Maza ni sawa na kukataliwa na Malaya

Kaogee maji ya chumvi kutwa mara tatu
 
Sasa wakiacha maringo, mapenzi yatakosa ladha. Acha waringe ili akili zichangamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…